habari zenu wadau wangu za xmass jmn ,bahati mbaya au nzuri xmass hii haikuwa nzuri sana wala mbaya sana kwangu kwani nlishinda nyumbani tu nkiwa bus na kusoma kujiandaa na mtihani wa j3 maana chuo chetu hakina ckukuu ,,ni hivo tu..vp kwenu wadau wangu mna mpya gani
No comments:
Post a Comment