Tuesday, 11 September 2012
SOMA HII STORY NI YA KWELI
NIMEIKUTA HII SEHEMU NIKAONA NIICOPY INAWEZA KUWASAIDIA WAPENZI WA KITHURAAH BLOG WAWEZA MWAMBIA NA NDUGUYO: JUMAPILI ILIYOPITA MJOMBA WANGU ALIKUWA KWENYE DALADALA AKITOKEA UBUNGO KWENDA TEGETA. BASI LILIPOFIKA MWENGE ABIRIA WALIONGEZEKA NA WENGINE WAKAWA WAMESIMAMA,KATI YA WALIOSIMAMA ALIKUWAPO MZEE MMOJA ALIYEKUWA NA HAND BAG KAMA TUNAZOBEBEA LAPTOP HIVI. YULE MZEE ALIMUOMBA MJOMBA WANGU AMSAIDIE KUMSHIKIA BAG LAKE KWA KUWA YEYE ALIKOSA SITI, BILA YA KUSITA AKAAMUA MUMSAIDIA KALE KA BAG" BAADA YA VITUO VIWILI YULE JAMAA MWENYE KA BAG ALITEREMKA BILA MJOMBA WANGU KUMUONA NA YEYE HAKUWA NA WASIWASI KWA KUWA ALIJUA MWENYE MZIGO AKITAKA KUSHUKA ATAUCHUKUA TU MZIGO WAKE. KABLA GARI HAIJAFIKA KITUO CHA TATU ILISIMAMISHWA NA WATU WALIOJITAMBULISHA KWAMBA WAO NI ASKARI POLISI WAPELELEZI KWAMBA KUNA KITU WANAPELELEZA,WA KAWAAMURU ABIRIA WOTE WATEREMKE KWENYE GARI,WALIFANYA HIVYO MMOJA WA WALE POLISI, WALIMFUATA MJOMBA WANGU NA KUMUULIZA 'NA WEWE KWENYE BAG LAKO KUNA NINI? AKAWAJIBU BAGI SIYO LANGU KWA HIYO SIWEZI JUA NDANI KUNA NINI!! WAKAMUULIZA TENA, MWENYEWE YUKO WAPI TUONESHE" AKAANGALIA KATI YA WALE ABIRIA WENZAKE HAKUMUONA. WAKASEMA FUNGUA TUONE KUNA NINI NDANI, WALIPOFUNGUA WAKAKUTA KUNA SILAHA AINA YA PISTO.ALIPOJARIBU KUJITETEA WAKAMWAMBIA TWENDE KITUONI UTAENDA KUJIELEZA HUKO. BASI LIKARUHUSIWA NA YEYE WAKAMPELEKA POLISI, WAKIWA NJIA WAKAMWAMBIA KAMA ANATAKA WAMWACHIE ATOE LAKI NANE 800,000/= VINGINEVYO WATAMUUNGANISHA KATIKA KESI YA WIZI WA KUTUMIA SILAHA,AKAWAAMBIA SINA HIZO PESA NA SIWEZI KUTOA MPAKA SASA BADO YUPO NDANI. HII INATUKUMBUSHA KWAMBA NI KWELI TUNAPENDA KUWASAIDIA WATU ILA TUWE MAKINI NA MISAADA TUNAYOITOA. MZEE ALIKUWA NA NIA NJEMA KABISA YA KUTOA MSAADA ILA MSAADA UMEMGHARIMU MAISHA. Mwisho napenda kuwatahadharisha watu wote tuwe makini na watu tusiowajua,na wema usizidi uwezo.dunia imeharibika hamna wa kumuamini. Ahsante Flora Sinyora.
Sunday, 9 September 2012
KUWA MAKlNl NA MlTANDAO YA KlJAMll
Don't Trust people in facebook ,Nimesoma jana kweny Blog ya BellaNaija nimeogopaa,nimeshndwa kuicopy its too long...Kifo cha mschana anaitwa Cynthia uko Nigeria,ana miaka24 post graduate holder na mfanya biashara mweny botiq yake mjin Jos...naskia alipata marafiki facebook kama wengi tunavyowapata,marafk wa kiume kwa wa kike, aliwaamini sana wakawa washkaji tu,sasa hao jamaa wanaishi Lagos ambako ndio anako nunulia mzgo wake wa biashara,basi wakapanga wakutane akija Lagos kununua mzgo,inavyosemekana walimkatia ticket ya ndege wakampokea airport wakamchukulia Hotel siku iyo iyo,Kilichofuata unaambiwa baada ya kufika Hotelin alifungwa kamba,aliibiwa kilakitu na walimuua apoapo wakakimbia,waliiba poch yenye vtambulisho vyote na simu kwaio ikawa ngumu kuwasiliana na ndugu na marafiki wa Cynthia..mwili ulichukuliwa ukapelekwa mochuary uku ndugu zake wakiendelea kuomba Mungu arudi salama...Lakn through media alipatikana na inavyosemekana na wauaji pia walikamatwa na ni wanafunz wa chuo kimoja apo Lagos,walikiri kumuua na kumuibia na uyo ni mtu wa 6 kumfanyia hvyo,To cut the story short,Tuna kubwa la kujifunza kweny hii kitu,be careful with the people u meet in fb,bbm or twitter...tunatakiwa kuzingatia usalama wetu zaidi kweny hii mitandao ya kijamii,ukiuliza watu wote waliooana umu facebook waulize kama siku ya kwanza ya kuonana kama walikua na usalama wowote,waliaminiana tu na wakakutana...tumshukuru Mungu aliewaunganisha pamoja,what if mmoja angekua na lengo lingne je?..hivi ndivyo tunavyokufa,tunavyotapeliwa na tunavyoibiwa na kubakwa kupitia hii mitandao ya jamii....Nigeria kuna mambo machaf mengi sana lakn this can happen to anyone anywhere...Let's keep it low kweny hiz social netwerks,Wezi na wauaji nao wanafikiria mbinu mpya kilasiku,yawezekana wakaicopy immediately hii ya waNigeria,...binafsi nimeguswa sana na hii story...Let's be careful jamani. Nmepata habar hii kwa rafk yangu REDDY MiKe kwa FB Jaman tuwe makin sana na hii mitandao ya kijamiii sababu tunakutana na watu tusiowajua hata hstoria zao na hata makazi yao.. Nawapenda sana wadau wangu Nawataka Jumatatu tulivu.
Sunday, 2 September 2012
HAPPY BIRTHDAY TO ME
Thank you, God, for giving me another year of life.
Thank you for all the people who remembered me
today
by sending cards, and letters, gifts and good
wishes.
Thank you for all the experience of this past year;
for times of success which will always be happy
memories,
for times of failure which reminded me of my own
weakness and of my need for you,
for times of joy when the sun was shining,
for times of sadness which drove me to you.
Forgive me
for the hours I wasted,
for the chances I failed to take,
for the opportunities I missed this past year.
Help me in the days ahead to make this the best
year yet,
and through it to bring good credit to myself,
happiness and pride to my loved ones,
and joy to you.
Amen.
Happy Birthday to me
kithuraah wa kaumo
Subscribe to:
Posts (Atom)