Sunday, 9 September 2012

KUWA MAKlNl NA MlTANDAO YA KlJAMll

Don't Trust people in facebook ,Nimesoma jana kweny Blog ya BellaNaija nimeogopaa,nimeshndwa kuicopy its too long...Kifo cha mschana anaitwa Cynthia uko Nigeria,ana miaka24 post graduate holder na mfanya biashara mweny botiq yake mjin Jos...naskia alipata marafiki facebook kama wengi tunavyowapata,marafk wa kiume kwa wa kike, aliwaamini sana wakawa washkaji tu,sasa hao jamaa wanaishi Lagos ambako ndio anako nunulia mzgo wake wa biashara,basi wakapanga wakutane akija Lagos kununua mzgo,inavyosemekana walimkatia ticket ya ndege wakampokea airport wakamchukulia Hotel siku iyo iyo,Kilichofuata unaambiwa baada ya kufika Hotelin alifungwa kamba,aliibiwa kilakitu na walimuua apoapo wakakimbia,waliiba poch yenye vtambulisho vyote na simu kwaio ikawa ngumu kuwasiliana na ndugu na marafiki wa Cynthia..mwili ulichukuliwa ukapelekwa mochuary uku ndugu zake wakiendelea kuomba Mungu arudi salama...Lakn through media alipatikana na inavyosemekana na wauaji pia walikamatwa na ni wanafunz wa chuo kimoja apo Lagos,walikiri kumuua na kumuibia na uyo ni mtu wa 6 kumfanyia hvyo,To cut the story short,Tuna kubwa la kujifunza kweny hii kitu,be careful with the people u meet in fb,bbm or twitter...tunatakiwa kuzingatia usalama wetu zaidi kweny hii mitandao ya kijamii,ukiuliza watu wote waliooana umu facebook waulize kama siku ya kwanza ya kuonana kama walikua na usalama wowote,waliaminiana tu na wakakutana...tumshukuru Mungu aliewaunganisha pamoja,what if mmoja angekua na lengo lingne je?..hivi ndivyo tunavyokufa,tunavyotapeliwa na tunavyoibiwa na kubakwa kupitia hii mitandao ya jamii....Nigeria kuna mambo machaf mengi sana lakn this can happen to anyone anywhere...Let's keep it low kweny hiz social netwerks,Wezi na wauaji nao wanafikiria mbinu mpya kilasiku,yawezekana wakaicopy immediately hii ya waNigeria,...binafsi nimeguswa sana na hii story...Let's be careful jamani. Nmepata habar hii kwa rafk yangu REDDY MiKe kwa FB Jaman tuwe makin sana na hii mitandao ya kijamiii sababu tunakutana na watu tusiowajua hata hstoria zao na hata makazi yao.. Nawapenda sana wadau wangu Nawataka Jumatatu tulivu.

No comments:

Post a Comment