Sunday, 30 November 2014

DIAMOND PLATINUMZ AIBUKA NA TUZO 3 TOKA CHOAMVA 2014












Kwa Mara nyingine tena Naseeb Abdul "Diamond Platinum" aiwakilisha vyema Tanzania name East Africa kwa ujumla kkwa kujizolea tuzo 3 ktk makundi tifauti aliyokua nominated katika CHOAMVA 2014 ambapo msanii Diamond alijizolea categories hizi
Most gifted new commer: Diamond
Most gifted Afro pop: Number one
Most gifted East ; Diamond Platinumz











Hongera sana Diamond kwa kutuwakilisha..kama ni nyota yako ni
 ya jaa..Mambo mengine tukuachie mwenyewe kama ni project tuache iendelee kwa kweli...

"Usijali mama,we wache waongee, usiku na mchana na mpaka wa nyongee, na ntakupenda sana,mahaba ni nyonge"
Aaah mwandaazimu kaingiajee

Thursday, 27 November 2014

THURSDAY MISHONO: PATA MUONEKANO

Kithuraa Collection Mishono
Pata Muonekano mwanamke/Mdada
kwa kupata fundi mzuuri wa mishono hii
Whatsaap 0716 666640
Karibuni











YA WALIMWENGU: MCHEPUKO WA MH WAIBA TAA HOTEL


Ya Walimwengu, Huko Dodoma:

Mdada mmoja ambaye alikuwa nyumba ndogo ya mheshimiwa fulani kutoka bungeni dodoma,aiba taa ya mezani katika hotel iliyotambulika kwa jina la Royal V. Hotel.

mhudumu wa hotel hiyo akihadithia

''kaletwa hotelin bila aibu kaiba taa muda wa kuondoka.
mungu si athumani mbuge kachelewa kuja kumchukua mchepuko wake mara mdada wa usafi anaingia room anakuta taa ya kitandani haipo.anaenda recpt akaambiwa tena mwizi hajaondoka kaite polisi wanakuja kumsachi kaichimbia chini ya bag .Mara mheshimiwa anamfata anakutana na polisi acha ajifiche ''
aibu Dada smart kaumbuka.
mchepuko mwizi huyoo kabla ya kusachiwa na kukutwa na taa ya mezani ya hotel hiyo

mrembo mwizi ukisachiwa kwa kutoa nguo moja moja
najua wapo warembo wengi ambao wamezoea udokozi wa aina hii especially kwa mahotelini na pia kwenye baa jamani hii ni aibu siku zote za mwizi arubaini (40) hii ni kweli kabisaa..
jihadharini warembo.

Wednesday, 26 November 2014

POWDERS NA FOUNDATIONS : KITHURAAH COLLECTION

KWA MAHITAJI YAKO YA UREMBO JIPATIE PODA NA FOUNDATIONS KWA SKIN TONE ZOTE YAANI, BLACK, MAJI YA KUNDE , WEUPE N.K
NICHECK KUPITIA WHATSAPP NO : 0716 666640
Mac , Sleek, Black Opal , MaryKay Powders kwa 15,000/=

MaryKay Foundation 30,000/= Powder 25,000/=

Mac Foundation 25,000/=


MaryKay Foundation 30,000/=

Black Opal Powder 25,000


Blac Opal Foundation 35,000/=

Black Opal Foundation 35000/=

Tuesday, 25 November 2014

MREMBO AFARIKI BAADA YA KUTOA KUCHA BANDIA


Sijui walitumia gundi ya aina gani kumbandikia kucha mwanangu, mpaka sasa sielewi, mtoto mwenyewe ndiyo huyo huyo mmoja wa kike niliyekuwa nikimtegemea na ndiyo kwanza ndoa yake bado changa kabisa hata mwezi mmoja haina, huu ni mtihani mkubwa kwangu na kwa mumewe ambaye wamefunga naye ndoa wiki tatuzilizopita, inauma sana lakini tunamwachia Mungu.”
Ni maneno ya mama mzazi wa Sophia Komba aliyefariki dunia hivi karibuni jijini Dar es Salaam, baada ya kupata kidonda kwenye kidole chake cha mkono wa kushoto alipokuwa akibandua kucha za bandia alizobandikwa siku ya harusi yake na kusababisha apatwe na tetenasi.
Sophia hadi kifo kinamkuta alikuwa na umri wa miaka 28, Oktoba 15 alifunga ndoa na Richard Mmary katika harusi ya aina yake iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Wakisimulia namna walivyomuuguza Sophia kwa takriban wiki moja na nusu, mume wa marehemu anasema wiki moja baada ya sherehe ya harusi yao, Sophia aliamua kwenda tena salon kwa ajili ya kutengeneza nywele na kutoa kucha alizobandikwa siku ya harusi yao.
“Ilikuwa siku ya Jumamosi jioni, Sophia aliniaga anaenda saluni, alirudi baada ya saa mbili kupita lakini alikuwa akilalamika kuwa kidole kinamuuma sana, nikamuuliza amefanya nini akanijibu kuwa alikuwa anabandua kucha, lakini bahati mbaya kucha moja inaonekana ilibandikwa vibaya walipokuwa wanaibandua ilibanduka na ngoziya pembeni ya kidole na ikamuachia kidonda.
“Sikujali sana nikajua nikidonda cha kawaida tu,nikaenda kwenye duka la dawa nikamnunulia spiriti nikamsafisha lileeneo, lakini kilichonishangaza alikuwa akilalamikia maumivu makali,” anasema.
Mama yake Sophia, Victoria Haule anasema kuwa anaamini kuwa kifo cha mwanaye kimetokana na kucha bandia ambayo ilimsababishia apatwe na tetenasi.
“Tulipoona maumivu yanamzidia, tulimpeleka Hospitali ya Sinza, daktari alipomfanyia vipimo alitutaka tumpelekeHospitali ya Mwananyamala kwa matibabu zaidi, kwa kuwa alibaini kuwa Sophia ana tetenasiiliyosababishwa na kile kidonda. Binafsi niliamini kucha ile ndiyo tatizo, kwa kuwa ilifikia hatua mkono mzima ukawa umevimba na kubadirika rangi na kuwa mweusi sana kama damu imevilia,” anasimulia mama yake Sophia.
Kwa maelezo ya nduguhao wa marehemu, Sophia alifariki dunia akiwa anapatiwa matibabu na kwa mujibu wa daktari kifo chake kilisababishwa na tetenasi.
Mabibi harusi wengi hivi sasa na hata wanawake kwa wasichana wanapendelea sana kubandika kucha bandia wakilenga kuboresha mwonekano wa vidole vyao. Wengi hupenda kuwa na kucha ndefu ambazo huzipaka rangi na hivyo kuvutia pindi mtu azionapo.
Licha ya wao kuona kuwa kwa kufanya hivyo hupendeza, daktari mmoja wa magonjwa ya ngozi, anasema urembo wa kubandika kucha una athari zake kutokana na kutumika kwa gundi ambayo hunatahata kwenye ngozi.
DkPatrickKashaija wa Hospitali ya St. Benedict ya jijini Dar es Salaam, anasema amewahi kukutana nakesi za aina kama ya marehemu Sophia nyingi ambazo husababishwa na kucha za bandia

Friday, 21 November 2014

HAPPY BIRTHDAY NEEMA WASHOKERA(KABURU)







HAPPY BIRTHDAY TO THIS BEAUTIFUL LADY UP THERE, MAMA C'S ,MAMA KABURU,
MAY ALLAH GIVE YOU MORE YEARS TO BLEW 100+ CANDLES INSHAALAH N TO SEE YOUR IN-LAWS FROM YOUR SONS.

Wednesday, 19 November 2014

THURSDAY MISHONO

Coorporate Mishono



KITHURAAH COLLECTIONS

Classic Shoes for 85,000/=
size 37-41
colour; Red, White, Gold


Simple casual Shoes for 35,000/=
size 37-42
colour: Blue, Orange, red, Green, pink


Classic Casual Shoes 35,000/=
Size: 37-41
colour: Black, Pink, Red, Cream







Whatsapp no 0716 666640
piga and press your order.
Kithuraah Collections

KITHURAAH COLLECTIONS

haya wadau wa kijiwe cha urembo kithuraah collections inakuletea bidhaa za urembo kwa bei nafuu kabisa..
chaguo lako ,bidhaa yako 
WHATSAPP NO 0716 666640
legooooooo
eye shadows makeup set 25,000/=

eye shadow makeup set 18,000/=

eye shadow makeup 15,000/=

make up Blush 7,000/=

liquid foundatio 15,000/=

liquid foundation 20,000/=

liquid foundation 25,000/=

GEL eye liner (Wanja) 15,000/=

TYA Powder 10,000/= rangi zote zipo

eye gel (wanja) set mbili brown na mweusi
25,000/=
kitana cha kunyooshea nywele si lazima kupasi kwa
10,000/=

KARIBUNI NYOOOOTE 
WHATSAPP NO 0716 666640