Tuesday 13 March 2012

MAREKEBİSHO YA BLOG

wapenz wa kıthuraah blog ,natumai kwa njiamoja au nyingİne mtakua mmeona mabadiliko ktk blog yetu yasikusangaze kwani bado niko kwenye maboresho ili blog yetu iwe na mvuto zaidi ,nımejaribu kuja na idea yangu ili niwe tofauti na wengine.
nakaribisha maoni yenu wadau wangu ,ushauri ili tuweze kuboresha zaidi.
nawapenda sana u mean everything to me..

enjoy ua tıme

Saturday 10 March 2012

TIA GET TOGETHER PARTY MSASANI BEACH CLUB

Tulifurahi sana cku hii with collage mates ,kula ,kunywa,kucheza,na kila kitu was there
TID n NGWEA alitufurahi kwa nyimbo za ukwee ,,nlikumbuka sana ZEZE song mweeh nlichezaje.
MSEMO CLASSMATE



I WITH MY XTEAM MATE @AIRTEL




MZIKI ULIO SABABISHA 




ZEZE limekolea hapo

KITHURAAH N GWEA SHIII KIMYA KIMYA
ME N REVINA
THE ONE KITHURAAH

TID AKIFANYA MAMBO YAKE ..

Sunday 4 March 2012

SHAMRASHAMRA ZA CKU TA WANAKE AT SERENA HOTEL

Hiyo jana pale serena hotel,, wanawke waliwakilisha vem sana ktk kuanikisha shughulı hii


RED CRPET HILOO

STAMPING NAIL WAKIWA KAZINI



MAMODAL HAO N MADESIGNER WAO.

OMMY DIMPOZ KIBURUDISHA N NAI NAI

MZEE YUSUPH KTK POZI LA PICHA

JAHAZI MODERN TAARAB WKIWA KAZINI