Friday 2 August 2013

IFTAR YA THE MBONIE SHOW

Hongera Sana my Dada kwa iftar ulioiandaa na hatimae kufanikisha siku hii tar 28/7/3013 ilikua nzuri maashaalah na ni mfano wa kuigwa ,kulisha watoto190 na sisi wengine zaidi ya watu 400 si jambo la mchezo alhamdulillah umeweza ..

Binafsi nashkuru sana sana na Mmungu azidi kukupa moyo wa imani inshaala..
wadau hizi ni baadhi ya pics za kwa Thembonie Show Iftar.








ME N MY DADA

MY MUM

ME,UNT N MUM TULIKUTANA HUKO

HUYO MIE