Friday 7 February 2014

BACK IN BLOGGING

Habari zenu wadau

Kimya kingi kina mshindo,baada ya kuakimya kwa kipindi kirefu kithuraah wa kaumo amerudi tena na nguvu mpya zaidi .
Mapeenzi telee kwa wadau wangu na wateja wqngu mlokua mkinipigia simu kwa ajili ya kupata bidhaa na kunisabahi pia ..bado nipo Alhamdullilah maisha yanakwenda.

Makiss mengi to you all diaz..