Sunday 28 September 2014

BIRTHDAY YA MWAKA YA SUPERSTAR WEMA SEPETU WA CHIBU..

Birthday ya mwaka hiii...

Superstar wa bongo ambaye hachuji hata iwe vipi anazidi kung"aa tu azaliwa..
Sio mwengine ni beautiful onyinye, mchumba halali wa chibu dangote,officially mkwe wa Bi sandra...aliziimisha jiji LA far  kwa kufanya birthday ya kufa MTU.
Beautiful onyinye atimiza rasmi miaka 26, chibu nadhani km chakula kimeiva make ndo Huyo kashakua she is officially grown up..

Kithuraah nsiongee mengi cheki matukio ktk picha..

Decor hyo ..pink theme..chezea wema ww

This is it..mupo mahaters

Beautiful onyinye her self and in pink theme...damn she is gorgeous

Mweeh mwehh...
MAMA NA MWANA................

Surprise ya kaka meneja..martin kadinda chezea wee

Handbag Cake from Mchumba take,babe wake wema ,chibu dangote,diamond platinums..sukari ya wema peke take..

Mmmmhhh no words to add ..caption inajieleza ..surprise from chibu wake mwenyewe..Nissa Murrano..mmmhh mahaba niue

Bi Sandra nae akaja kivyake mwendo was nyama nn sukari maana zilizzidi ...
Nadafu yako mkwe wangu ..kupendwa rahaa

Team wema nap hawakuacha kupitwa ...cake hiyoo...frame with team wema T-shirt..
Skuna verscade ..chocolate jamani kupendwa uuwiii


Team wema wengine haoooo ..acha kabisaa

Thursday 25 September 2014

KITHURAAH COLLECTIONS: VIATUU

PATA MUONEKANO KTK MGUU WAKO NA KITHURAAH COLLECTION
KWA SHILING 70,000/=
WHATSAPP # 0716666640

MUONEKANO DISAIN YA BOUT/SKUNA
KWA 75,000/=
WHATSAPP # 0716 666640

75,000/= TU KUPATA MUONEKANO HUU
WHATSAPP #0716 666640

65,000/= KWA WEDGE DESIGN SHOE

 KITHURAAH COLLECTION, kijiwe cha Urembo nipo kwa ajili yako 
popote ulipo mali inakufikia.
bonga nami kupitia whatsapp # 0716 666640
karibuni nyote

Wednesday 24 September 2014

JINSI YA KUPAKA MAKE UP USONI.

Tunapenda sana urembo hasa wa uso lakini kuna mambo muhimu ya kuzingatia ili kupendezesha uso wako na kuonekana unavutia zaidi popote utakapotokelezea na watu wakasema waoohh you look gorgeous.
Sasa leo nimekuja na TIPS chanche za kukufanya wewe uonekane mrembo zaidi kila wakati .


1. USO -
osha uso wako kwa maji ya uvuguvugu na sabuni. kausha vzuri na kitaulo laini.
kama unatumia cleanser yoyote ni vizuri zaidi kuondoa uchafu kwenye uso wako kwa kutumia pamba na baada ya hapo osha tena uso wako kwa maji tuu ya uvuguvugu na ujikaushe.

2. FOUNDATION
Chagua faoundation inayoendana na rangi ya ngozi yako,

foundation ndo ya kwanza kupaka usoni kwako ili kuziba vidoa doa vilivyo kwenye ngozi ya uso wako ,paka kwa kutumia brush maalum ukianzia katikati kwenda chini na juu.epuka kuanzia kwenye pji la uso yani nywele zinapoanzia kwani itasbabisha mlundikano.

3. POWDER
Paka powder inayoendana na ngozi yako juu ya foundation,hakikisha unasambaza uso wako wote pamoja na sehemu za shingo ili rangi iwe sawa na uso. kwa kutumia spounge au brush inayohusika.

NB: ZINGATIA SANA RANGI YA PODA PAMOJA NA RANGI YA NGOZI YAKO ,KWANI UNAWEZA UKAWA MNG'AVU THEN UKAPAKA PODA AMBAYO ITAKUFIFIZA

KITHURAAH COLLECTIONS KIJIWE CHA UREMBO
UTAJIPATIA PODA MBALIMBALI 
MAC,SLEEK,IMAN,MARY KAY NICHEK KUPITIA NO 0716 666640
KARIBUNI NYOTE.

Tuesday 23 September 2014

YA WALIMWENGU: ATUMIA 33MILION KUONGEZA TITI LA TATU


Msichana wa umri wa miaka 21 anayejulikana kwa jina la Jasmine Tridevil( sio jina Halisi), mkazim wa kitongoji cha Tampa jijini Florida nchini marekani anayejishughulisha na kufanyia watu massage,amelipia dola 20,000 kwa ajili ya upasuwaji kuongeza titi la tatu ambazo ni sawa na shilingi za kitanzania 33.4.
katika mahojiano na kituo cha redio nchini marekani, mwanadada huyo alisema ameamua kuongezea titi la tatu ili kupunguza mvuto kwa wanaume,kwani hataki kuwa na mpenzi.

Jasmine amesambaza picha zake mpya akiwa katika vazi la bikini kupitia ukurasa wake wa Facebook baada ya upasuaji huo.
Mrembo huyo amedai kuwa amekanwa na mama yake mzazi pamoja na dada yake.
"Mama yangu alikimbia, hataki kuongea na mimi wala hataki dada yangu aongee na mimi baada ya kuongeza titi la tatu," Alisema Tridevil


Mbali na furaha aliyonayo mrembo huyo, bado anadai titi lake la tatu halifanani na mengine. Tridevil analazimika pia kujitengenezea mavazi yake mwenyewe ambapo ananunua mavazi mawili ya kuogelea
kisha moja analikata ili kupata nguo itakayokaa kwenye titi lake la tatu.


Chanzo: Global Publishers
kithuraah wa kaumo

Tuesday 16 September 2014


Kithuraah Collections 
imekuletea wallets za kisasa na kwa bei chee
design:Plain
colour: yellow, red, black, Pink, Blue
Price: 22,000/= tu.
check me on whatsapp # 0716 666640
nakuletea popote ulipo kwa bei hyo hyo..
Jumla pia zinapatikana
Karibuni sana Kithuraah Collections.

WALLETS WALLETS FOR SALE



Kithuraah Collections 
imekuletea wallets za kisasa na kwa bei chee
design: Animal Print/ Plain
material: Velvet
Price: 18,000/= tu.
check me on whatsapp # 0716 666640
nakuletea popote ulipo kwa bei hyo hyo..
Jumla pia zinapatikana
Karibuni sana Kithuraah Collections.