Monday 26 December 2011

habari ya xmass wadau

habari zenu wadau wangu za xmass jmn ,bahati mbaya au nzuri xmass hii haikuwa  nzuri sana wala mbaya sana kwangu kwani nlishinda nyumbani tu nkiwa bus na kusoma kujiandaa na mtihani wa j3 maana chuo chetu hakina ckukuu ,,ni hivo tu..vp kwenu wadau wangu mna mpya gani

Friday 23 December 2011

happy birthday mylovely

U r the reason I am,u r the reason I smile,I might not knw the pains yu went throu to make me whAt I am nw,you care,u love n' teach ,yu r protective and supportive,yu make me proud person,may you continue live the joyful life for all the year to come,I LOVE U MOM ,HAPPY BIRTHDAY
habari zenu mabibi na mabwana
hii leo tar 23/12/2011 ambayo ni cku ya furaha sana kwangu kwani ni cku ambayo mama angu mpendwa Rukia Mamu amezaliwa na pia ni cku ambayo nimefungua blog yangu rasmi ,blog hii itahusu zaidi mambo ya kijamii yanayotuzunguka ktk jamii yetu ,sherehe huzuni ,majanga ,ushauri ,maoni ,kero za kijamii na kila kitu kinachohusu jamii ,,karibu sana wapendwa wangu na nnaimani tuko pamoja ktk kuikuza Blog hii .
nawapenda sana