Friday 23 December 2011

habari zenu mabibi na mabwana
hii leo tar 23/12/2011 ambayo ni cku ya furaha sana kwangu kwani ni cku ambayo mama angu mpendwa Rukia Mamu amezaliwa na pia ni cku ambayo nimefungua blog yangu rasmi ,blog hii itahusu zaidi mambo ya kijamii yanayotuzunguka ktk jamii yetu ,sherehe huzuni ,majanga ,ushauri ,maoni ,kero za kijamii na kila kitu kinachohusu jamii ,,karibu sana wapendwa wangu na nnaimani tuko pamoja ktk kuikuza Blog hii .
nawapenda sana

No comments:

Post a Comment