Thursday 14 June 2012

HAPPY FAMILLY


MR& MRS SMITH

WILL SMITH NA JADA PINKETT SMITH 
Will Smith ambaye alizaliwa September 25, 1968, ambaye alikuwa muigizaji wa kipindi cha The fresh Prince ,akiwa mchekeshaji mbali na fani hiyo alikuwa pia rapper maarufu sasna nchini marekani.

mnamo mwaka 1992 alimuoa Sheree Zampino walifanikiwa kupata mtoto mmoja Trey Smith ambaye ni
mcheza Basket maarufu nchini marekani. aliachana na Sheree mnamo mwaka 1995.
ambapo alioana na Jada Pinket mnamo mwaka 1997 na katika ndoa yao wamefanikiwa kupata watoto wawili ambao ni Jaden Smith na Willow Smith ambao nao wako mbio ktk fani walizorithi kwa wazazi wao.

Jaden Smith amezaliwa July 8, 1998 ni mcheza filamu mzuri tuu anayechipukia na filamu alocheza ni ''karate kid'' kama utaikumbuka mdau au kama hujaiona itafute ni sinema nzuri sana akiwa sambamba na Jackie Chan.
Willow Smith alizaliwa October 31, 2000 ,mwenye umri wa miaka 11 hadi mnamo mwezi wa 10/2012 anatimiza 12, ameonesha kipaji chake cha kuimba na  ni mwanamuziki anayechipukia ambae anakibao maarufu sana hata hap a nchini kwetu ''whip my hair'' na pia amewahi kushiriki ktk filamuinaitwa ''I Am Legend''
happy familly
soo lovely familly

willow and jaden smith

picha ya pamoja ktk uzinduzi wa filamu ya MIB3



Kiukweli familia hii naikubali sana aisee na ni mfano wa kuigwa huko marekani na hata hapa kwetu,nnaimani sometimes wanamabifu yao wanasolve thn maisha yanaendelea hadi watoto wanakua na kuendeleza vipaji vyao soo lovely mi naipenda sana hii familia ..
nawatakia maisha mema na marefu ..

xoxoooo

Sunday 10 June 2012

AMBER ROSE NDANI YA COMBAT ..

Mjeshi kamili
AMBER ROSE


HAVE A BLUE MONDAY WADAU WANGU MUWE HAPPY AS I AM ,
MUWE NA SMILE KM LA AMBER ROSE MUENDE KAZINI MPIGE KAZI TUJENGE TAIFA LETU ..

KISS KISS

KITHURAAH WA KAUMO



Friday 8 June 2012

DJ FETTY /DJ KWA FEE KUWASHA MOTO NDANI YA BIGBROTHER STARGAME WEEKEND HII.



 
 
Name: Fatma Hassan a.k.a Dj Fetty, Dj Kwa Fee
Occupation: DJ, Presenter and Producer (Clouds Fm)
Location : Dar es Salaam, Tanzania



Mwanadafada wa ukwee na anayejiamini miamia apata shavu la kwenda kuendesha party ya BigBrother StarGame wikiendi hii ndani ya mjengo ,mambo ya scraching CD blablaa sana tuu si unajua tena maujuzi ya uDj .
dont miss this party stay tuned kwa luninga yako..

AKIFANYA MAMBO YAKE 

 DJ FETTY KATIKA POZI
wish youu all the best mwanadafada wetu DJ FETTY toka clouds Fm.
piga mzigo mdada wasouth wapige salute.

Thursday 7 June 2012

Tuesday 5 June 2012

MJUE MARIAN RIVELA MUIGIZAJI KUTOKA UFILIPINO



Screen Name: Marian Rivera
Nickname: Yan-yan
Birthday: August 12,1984 Madrid, Spain

Showbiz Anniversary: January 1, 2005








Wengi wetu tunamfahamu mwanadada marian rivela kwa majina tofauti kutokana na filamu tulizowahi kuziona kupitia televisheni zetu hapa bongo.
ameigiza filamu nyingi sana hadi sasa miongoni mwao ni Mar Mar, Endless Love, Darna na nyinginezo nyingi,
kwa sasa anamahusianao na msanii mwenzake Dingdong Dantes ambaye mahusiano yao yalianza baada ya kukamilisha filamu ya Marimar ni yule aloact nae Cerio.
ni mwanamitindo maarufu sana nchini Philippines na pia ni director wa film .

hizi ni baadhi ya picha zake ktk pozi tofauti 
ktk filamu ya mar mar


akiwa na mpenzio Dingdong


lovely

 mi binafsi nampenda huyu dada i wish aje Tanzania na Akija  kwa kweli sitakosa unless otherwise iwe vingine coz ni mipango ya Mmungu .

Monday 4 June 2012

MODEL WA WIKI

Full name: Neema J. Washokera

Occupation: Student & Singer
Hobbies: Dancing, Singing and Fashion Designing
Favourate Food: Makange with Ugali