Thursday 14 June 2012

HAPPY FAMILLY


MR& MRS SMITH

WILL SMITH NA JADA PINKETT SMITH 
Will Smith ambaye alizaliwa September 25, 1968, ambaye alikuwa muigizaji wa kipindi cha The fresh Prince ,akiwa mchekeshaji mbali na fani hiyo alikuwa pia rapper maarufu sasna nchini marekani.

mnamo mwaka 1992 alimuoa Sheree Zampino walifanikiwa kupata mtoto mmoja Trey Smith ambaye ni
mcheza Basket maarufu nchini marekani. aliachana na Sheree mnamo mwaka 1995.
ambapo alioana na Jada Pinket mnamo mwaka 1997 na katika ndoa yao wamefanikiwa kupata watoto wawili ambao ni Jaden Smith na Willow Smith ambao nao wako mbio ktk fani walizorithi kwa wazazi wao.

Jaden Smith amezaliwa July 8, 1998 ni mcheza filamu mzuri tuu anayechipukia na filamu alocheza ni ''karate kid'' kama utaikumbuka mdau au kama hujaiona itafute ni sinema nzuri sana akiwa sambamba na Jackie Chan.
Willow Smith alizaliwa October 31, 2000 ,mwenye umri wa miaka 11 hadi mnamo mwezi wa 10/2012 anatimiza 12, ameonesha kipaji chake cha kuimba na  ni mwanamuziki anayechipukia ambae anakibao maarufu sana hata hap a nchini kwetu ''whip my hair'' na pia amewahi kushiriki ktk filamuinaitwa ''I Am Legend''
happy familly
soo lovely familly

willow and jaden smith

picha ya pamoja ktk uzinduzi wa filamu ya MIB3



Kiukweli familia hii naikubali sana aisee na ni mfano wa kuigwa huko marekani na hata hapa kwetu,nnaimani sometimes wanamabifu yao wanasolve thn maisha yanaendelea hadi watoto wanakua na kuendeleza vipaji vyao soo lovely mi naipenda sana hii familia ..
nawatakia maisha mema na marefu ..

xoxoooo

No comments:

Post a Comment