Tuesday 5 June 2012

MJUE MARIAN RIVELA MUIGIZAJI KUTOKA UFILIPINO



Screen Name: Marian Rivera
Nickname: Yan-yan
Birthday: August 12,1984 Madrid, Spain

Showbiz Anniversary: January 1, 2005








Wengi wetu tunamfahamu mwanadada marian rivela kwa majina tofauti kutokana na filamu tulizowahi kuziona kupitia televisheni zetu hapa bongo.
ameigiza filamu nyingi sana hadi sasa miongoni mwao ni Mar Mar, Endless Love, Darna na nyinginezo nyingi,
kwa sasa anamahusianao na msanii mwenzake Dingdong Dantes ambaye mahusiano yao yalianza baada ya kukamilisha filamu ya Marimar ni yule aloact nae Cerio.
ni mwanamitindo maarufu sana nchini Philippines na pia ni director wa film .

hizi ni baadhi ya picha zake ktk pozi tofauti 
ktk filamu ya mar mar


akiwa na mpenzio Dingdong


lovely

 mi binafsi nampenda huyu dada i wish aje Tanzania na Akija  kwa kweli sitakosa unless otherwise iwe vingine coz ni mipango ya Mmungu .

No comments:

Post a Comment