Friday 24 August 2012

TAMASHA LA FIESTA MOSHI IKISINDIKIZWA VYEMA NA BONGO MOVIE STARS

Clouds media bado ikiendelea na mchakato wa tamasha la fiesta 2012,leo hii wapo ndani ya Moshi wakisindikizwa na wasanii nyota wa bongo movie katika msafara mzima.tamasha hilo linatarajiwa kufanyika katika viwanja vya chuo ushirika jioni ya leo kwa kiingilio cha shilingi elfu 5 tu.haya wewe apo uliokuwepo moshi usikose tamasha hili na kuvinjari na wasanii mashuhuri wa bongo movie ,akiwemo wema sepetu,anty ezekiel,Jb, Ray, steve nyerere na wengineo wengiiii..
WEMA SEPETU NA ANTY EZEKIEL KTK POZI

HATMAN,STEVE NYERERE,BONGE SAMBAMBA KABISA NA MILLARD AYO

WEMA MWENYEWE

MILARD AYO AKIMUHOJI WEMA

BBM ZINAHUSIKA PIA,,HEHEHEEE
RAY AKIHOJIWA A MILARD AYO PEMBENI YUKO MR.JB NA HARTMAN.
GARI AINA YA VITS AMBAYO ITASHINDANIWA KWA KUCHEZESHWA DROO JIONI YA LEO HAPO VIWANJA VYA CHUO CHA USHIRIKA,MLIOKO MOSHI MSIKOTE UNAWEZA KUBAHATIKA.

Thursday 23 August 2012

COLOUR BLOCKING

COLOUR BLOCKING


HAYA MAMA NISIPITWE LOLS ,SIJAPITWA NA MIMI NKACHANGANYA MARANGI YANGU HAPO NA MWISHO WASIKU NKATOKELEZEA HIVO. NA WEWE JIPANGILIE NA UTUME PICHA YAKO KWA KUPITIA .
EMAIL: kithuraahtz@gmail.com

Wednesday 22 August 2012

COLOUR BLOCKING



celebrities hao,wametokelezea


wanaume pia wasipitwe na hii.
 Haya mafashionista wa bongo msipitwe na hii .kuchanganya rangi ndo mpango mzima kwa sasa.
wale tusiopitwa na fashion na hii isikupite crayz colours ndo zenyewe.

kithuraahTZ

Sunday 19 August 2012

EID MUBARAQ..

KITHURAAHTZ BLOG INAWAPA MKONO WA IDD NA KUWATAKIA IDD NJEMA MKIWA NA FURAHA PAMOJA NA FAMILIA ZENU..

EID MUBARAQ TO YOU ALL..

With LOVE

Kithuraah Wa Kaumo

Friday 17 August 2012

BALLET ,,BEAUTIFUL




kwa kweli naupenda sana huu mchezo hasa kuangalia wanavocheza cheza hizi mbwembwe lkn weeeh usije ukajaribu kama hauna mazoezi utavunja kila kitu chako ,shauri yako, hawa wanamazoezi ya kutosha hasa.

kithuraahTZ

Thursday 16 August 2012

SIMU ZA MKONONI NA MAHUSIANO

Habari za Ijumaa wapenzi wa kithuraah wa kaumo blog,i hope wote mko vyema na tukotunaendelea na kujenga taifa letu.

leo tuzungumze kuusu swala la simu za mkononi na mahusiano ya kimapenzi,jambo hili limeshazungumzwa sana na bado linazungumzwa lakini si vibaya tukilijadili hapa pia pamoja na tujue jinsi gani utaweza kabiliana na hili ili kunusuru mahusiano yako

hivi kwanini watu wengi sana wanamiliki simu zao na pia za wapenzi wao ?je hii ni sawa ?ni niniinasababisha wewe kua unapekua simu ya mpenzi wako ?
mana kunawengine wanapekua hasa kuanzia sms zilizoingia cku nzima,calls na mengineyo mengi je? inakusaidia nini katika mahusiano yako/yenu ?
na ukishajua kuwa liwasiliana na huyu na huyu je utakuwa na furaha au maumivu ?
Kwanini utafute ugomvi kwa mwenzio?
HII SIO SAHIHI KATIKA MAHUSIANO

HUYU KABEBA SIMU YA BF KAKUTA MAMBO HAYO PRESHA JUU


maana kiuhalisia zaidi ni kwamba kushika simu ya mpenzi wako na kuanza kusearch msg ,cjui calls cjui nini mwisho wa siku unapata maumivu ambayo usingegusa ile simu wala usingeweza yapata na hivyo kukupelekea kulivua pendo .

NINI UFANYE KUEPUKANA NA HILI

muamini mpenzi wako ,jiamini na we mwenyewe kama amekuchagua wewe na anakupenda,acha mambo ya kumpekua ,kumfatilia leo kafanya hivi mara hivi haitakusaidia kabisa katika mahusiano yenu. achana na simu yake ukiwa naye muoneshe mapenzi ya dhati na kama ni yule mtu wa kila dakika simu mfanye asahau simuyake ongeeni kuhusu mahusiano yenu ,future yenu itakuaje,na mengine mengi kuhusus mapenzi na sio bwana /bibi katoka kazini tu baada ya salam unampokea kwa kushika simu utajiumiza na utajikuta mnapigana na wengine kuuwana hasa sababu kitu kidogo snaa simu.
lakini kila mtu anapokuwa huru na simu yake hata kama kunakitu cha kukuumiza anakifanya anajihisi anahatia na ataacha believe me coz anajua kwanini nafanya hivi wakati mke/mme/mpenzi wangu ananipenda na ananionyesha mapenzi ya dhati .

hivyo tulia na mpenzi ,anayekupenda siku zote hatapenda kuona unaumia na hivyo hatakuwa mtu wa kukucheat.

ONYO; ACHA KABISA KUPEKUA SIMU YA MPENZI WAKO .

nakaribisha comments zenu wadau

JUMAA KAREEM

Kithuraah Wa Kaumo

HEHEHEHEE TUCHEKE WOTE


NIMEITOA KWA FACEBOOK


kithuraah wa kaumo

MBONI WA THE MBONI SHOW SHE REALLY INSPIRE ME.



NAAMINI KILA MTU ANAMTU AMBAYE ANAMPENDA EITHER KUTOKANA NA MATENDO YAKE MAZURI, LIFESTYLE, TABIA ZAKE,UCHESHI,UMARIDADI NA NK

MBONI MASIMBA WA THE MBONI SHOW SHE REALLY INSPIRED ME , WAPO NA WENGINE LKN NIMEONA SHE IS NO 1 TO MEE YANI ANANIKOSHA NA HANA MAJIGAMBO KAMA KINA WENGINE WANAOTAMBA MJINI KUTAFUTA UMAARUFU ..POPOTE ALIPO NNAIMANI ATAPATA UJUMBE HUU.

WISH HER ALL THE BEST IN HER WORKS ,ONE LOVE SIS .


kithuraah wa kaumo

Wednesday 15 August 2012

BEYONCE,ANGELINA JOLIE NA KIM KARDASHIAN NDANI YA HIJAB..

Ramadhan kareem

japo mfungo ndo unaishia na wao wakitusindikiza kwa vazi la hijaab..

BEYONCE KNOWLES

KIM KARDASHIAN

ANGELINA JOLIE

Nawe uvae jamani hata kwa huu mwezi tuu ,mweeh.
kithuraah wa kaumo

Saturday 11 August 2012

UMILIKI WA BLOG..

Hello wadau ,,! I hope mko wazima km mimi na wale tunaofunga tunaendelea na swaum na wale wasiofunga wanaendelea na mambo yako mengine,,
Haya sasa Tuongeeni hapa..
Ni kuhusu swala zima la umiliki wa blog ,,hivi kuwa na blog ni kujiongeleaa wewe binafsi au kuongelea kitu husika kinacho husu blog yako na mambo ya kijamii zaidi?,,wewe kama mdau unalionaje hili ni sahihi au sio sahihi..tupia comment zako ,,na as yu know ili twende sawa tunahitaji kushauriana nini cha kufanya ,.
Ahsanteni ..
kithuraah wa kaumo