Saturday 11 August 2012

UMILIKI WA BLOG..

Hello wadau ,,! I hope mko wazima km mimi na wale tunaofunga tunaendelea na swaum na wale wasiofunga wanaendelea na mambo yako mengine,,
Haya sasa Tuongeeni hapa..
Ni kuhusu swala zima la umiliki wa blog ,,hivi kuwa na blog ni kujiongeleaa wewe binafsi au kuongelea kitu husika kinacho husu blog yako na mambo ya kijamii zaidi?,,wewe kama mdau unalionaje hili ni sahihi au sio sahihi..tupia comment zako ,,na as yu know ili twende sawa tunahitaji kushauriana nini cha kufanya ,.
Ahsanteni ..
kithuraah wa kaumo

1 comment:

  1. sio lazima kujiongelea personal issues unless kama mmiliki anataka, but so far ndani ya blog unaweza ongelea topic yoyote kutokana na upande ambao blog yako imejikita, either kijamii zaidi, mapishi, beauty, fashions,. lifestyle, na mengine mengi! Kithuraah Wa Kaumo

    ReplyDelete