Thursday 16 August 2012

SIMU ZA MKONONI NA MAHUSIANO

Habari za Ijumaa wapenzi wa kithuraah wa kaumo blog,i hope wote mko vyema na tukotunaendelea na kujenga taifa letu.

leo tuzungumze kuusu swala la simu za mkononi na mahusiano ya kimapenzi,jambo hili limeshazungumzwa sana na bado linazungumzwa lakini si vibaya tukilijadili hapa pia pamoja na tujue jinsi gani utaweza kabiliana na hili ili kunusuru mahusiano yako

hivi kwanini watu wengi sana wanamiliki simu zao na pia za wapenzi wao ?je hii ni sawa ?ni niniinasababisha wewe kua unapekua simu ya mpenzi wako ?
mana kunawengine wanapekua hasa kuanzia sms zilizoingia cku nzima,calls na mengineyo mengi je? inakusaidia nini katika mahusiano yako/yenu ?
na ukishajua kuwa liwasiliana na huyu na huyu je utakuwa na furaha au maumivu ?
Kwanini utafute ugomvi kwa mwenzio?
HII SIO SAHIHI KATIKA MAHUSIANO

HUYU KABEBA SIMU YA BF KAKUTA MAMBO HAYO PRESHA JUU


maana kiuhalisia zaidi ni kwamba kushika simu ya mpenzi wako na kuanza kusearch msg ,cjui calls cjui nini mwisho wa siku unapata maumivu ambayo usingegusa ile simu wala usingeweza yapata na hivyo kukupelekea kulivua pendo .

NINI UFANYE KUEPUKANA NA HILI

muamini mpenzi wako ,jiamini na we mwenyewe kama amekuchagua wewe na anakupenda,acha mambo ya kumpekua ,kumfatilia leo kafanya hivi mara hivi haitakusaidia kabisa katika mahusiano yenu. achana na simu yake ukiwa naye muoneshe mapenzi ya dhati na kama ni yule mtu wa kila dakika simu mfanye asahau simuyake ongeeni kuhusu mahusiano yenu ,future yenu itakuaje,na mengine mengi kuhusus mapenzi na sio bwana /bibi katoka kazini tu baada ya salam unampokea kwa kushika simu utajiumiza na utajikuta mnapigana na wengine kuuwana hasa sababu kitu kidogo snaa simu.
lakini kila mtu anapokuwa huru na simu yake hata kama kunakitu cha kukuumiza anakifanya anajihisi anahatia na ataacha believe me coz anajua kwanini nafanya hivi wakati mke/mme/mpenzi wangu ananipenda na ananionyesha mapenzi ya dhati .

hivyo tulia na mpenzi ,anayekupenda siku zote hatapenda kuona unaumia na hivyo hatakuwa mtu wa kukucheat.

ONYO; ACHA KABISA KUPEKUA SIMU YA MPENZI WAKO .

nakaribisha comments zenu wadau

JUMAA KAREEM

Kithuraah Wa Kaumo

4 comments:

  1. Mi nlishaachaga,kwa kweli ni kuweka trust tu kati yenu,mi nlikua na hyo tabia mwenzangu kumbe ndo ilikua chachu ya mm kuwa na stress na kugombana kila cku na klichuna wangu,sa hv wala nshaacha na mwenyewe coz anaona changaiki nayo anaiacha hapo na wala ciiguc na ikiita hata kama yuko mbali nampelekea

    ReplyDelete
  2. simu ya mkononi na mahusiano ,aiseee natamani tupa ma bb inavyoniingiza matatizoni

    ReplyDelete
  3. kushika simu ni kupata ukichaaaa aiseee dah mi sitakag kabisaaa

    ReplyDelete
  4. jamani simu yangu yangu ya kwake yake...

    ReplyDelete