Wednesday 22 August 2012

COLOUR BLOCKING



celebrities hao,wametokelezea


wanaume pia wasipitwe na hii.
 Haya mafashionista wa bongo msipitwe na hii .kuchanganya rangi ndo mpango mzima kwa sasa.
wale tusiopitwa na fashion na hii isikupite crayz colours ndo zenyewe.

kithuraahTZ

2 comments:

  1. yaani hapo wale wa fashion yaani crazy color unatoka unique, sometime sexy and catchy

    ReplyDelete
  2. fashion addicted22 August 2012 at 04:52

    saana hasa ukijua kupangilia na hii inataka zaidi uvae plain colour sio nguo ya maua maua kibaao hapana km hao walivotoka

    ReplyDelete