Monday 27 May 2013

FEZA KESSY NA AMMY NANDO WAWAKILISHI WA TZ NDANI YA BIGBROTHER HOUSE 2013

hatimaye Tanzania inawakilishwa vyema ndani ya mjengo huko kwa madiba SA na vijana wawili ambao ni FEZA na AMMY ,watanzania wote ambao tunafatilia vyema mchezo huu hatuna budi kuwapa support wenzetu hawa kwa kuwapa kura za kutosha na hatimae kuibuka washindi katika mchezo huu.
 
FEZA KESSY
aliwahi kua  Miss Dar City Centre na pia ni mwanamuziki akiwa chini ya kampuni ya Unity Entertainment inayomilikiwa na AY na tayari ameshaachia single yake ya "Amani ya Moyo"
 
 
AMMY NANDO
ni kijana mweneye umri wa miaka 22 ambaye alikua akiishi Los Angeles, Marekani pia ni Model anayefanya kazi chini ya agency inayoitwa ModelMayhem.
 
Tunawatakia kila la kheri ndani ya mjengo..
 

1 comment: