Wednesday 29 May 2013

M TO TheP HAJAFARIKI YUPO HOSPITAL KWA MATIBABU.

Msaani ambaye ni rafiki wa Ngwear Mto the P ilisemekana naye amefariki lakini hizo habari si kweli ,yeye bado yupo hai lakini hali yake sio nzuri na bado hajajitambua, alisikika akisema millard ayo ambaye yupo South Africa kwa sasa, pamoja na waTZ wengine huko walikwenda hospital ambayo amelazwa na kufanikiwa kumuona akiwa bado chini ya uangalizi wa daktari, Pia Milard aliendelea kusema mwili wa marehemu Ngwair umehamishiwa kutoka kwa st Helen Joseph hosp alipokutwa na umauti na kupelekwa kwenye montuary ya hospitali ya serikali ya SA ukisubiri taratibu za usafirishwaji kuja nyumbani Tanzania kwa ajili ya maziko ..



Familia imekubaliana msiba utakua Mbezi kwa kaka yake ,taratibu za msiba zitajulikana hapo mwili utakapowasili hapa nyumbani.

RIP Albert Mangwear..



Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.

No comments:

Post a Comment