Wednesday 8 May 2013

SIR ALEX FERGUSON ATANGAZA KUSTAAFU



Kocha wa manchester United Sir Alex Ferguson atangaza kustaafu kiti hiko baada ya kuifundisha timu hiyo kwa muda wa miaka 26 tangu mwaka 1986.
Katika kipindi cha ucoach wake amebeba mataji 38 ya ushindi ,pambano la mwisho katika usimamizi wake  dhidi ya West Brom likiwa pambano la 1500 katika ufundishaji wake .
 
Miongoni mwa Vikombe alivochukua ni hivi

Premier League: 1993, 1994, 1996, 1997, 1999, 2000, 2001, 2003, 2007, 2008, 2009, 2011, 2013.
FA Cup: 1990, 1994, 1996, 1999, 2004
League Cup: 1992, 2006, 2009, 2010
Champions League: 1999, 2008
Cup Winners Cup: 1991
Fifa Club World Cup: 2008
Uefa Super Cup: 1992
Inter-Continental Cup: 1999
FA Charity/Community Shield: 1990 (shared), 1993, 1994, 1996, 1997, 2003, 2007, 2008, 2010, 2011

 Je nani atakuja kukishika kiti chake?
mashabiki wa Manchester united bado hawajafumbua hili fumbo .

No comments:

Post a Comment