Monday 29 July 2013

NANDO ARUDI NYUMBANI .



hasira hasara ,yamemkuta mshiriki toka Tanzania ndani ya jumba la Big Brother Nando baada ya kukubuhu kurudia makosa ambayo alishapewa onyo na ni baada ya kutaka kuzipiga na mhiriki mwenzie Elikeem.

nando alisikika akimtupia matusi mshiriki mwenzie huyo na kumtishia kumuua ,hilo la kutaka kumuua lilithibitika pale alipokuwa akionekana na kisu ambacho inasadikika alikua anasubiri kinuke ili picha lianze (thinking) ambacho alikua analala nacho chini ya mto wake ,,,weeeh nando weeh umetoa wapii hii mbona waTz tunakukubali then umeharibu sasa..

Bigie alimuita Nando na kumhorodheshea makosa yake ambayo alikua akiyafanya ,ambayo yalikua ni nje ya masharti ya mjengoni hapo ,na hapo hapo akatamka kuwa huo ndio ulikua mwisho wa mchezo huo kwake .nakukosa kabisa kupata chance hata ya kuagana na washirii wenzie ndani ya jumba hilo .

POLE SANA NANDO NA KARIBU SANA NYUMBANI .

 

Saturday 20 July 2013

MMILIKI WA HOME SHOPPING CENTRE SAID MOHAMMED SAAD AMWAGIWA TINDIKALI.




Habari za kusikitisha zimetufikia kwamba ,mfanyabiashara maarufu na Mmiliki wa Home Shopping Centre amwagiwa tindikali na mtu asiyejulikana wakati alipokua anapata ftari hiyo jana jioni .

ambaye aliyefanya unyama huo alifanikiwa kukimbia na mpaka sasa polisi wanaendelea na uchunguzi wakati Bw. Said akiwa anaendelea kupatiwa matibabu katika hospitali ya AMI iliyopo Masaki.

MUNGU AMPE AHUWENI BW SAID MOHAMMED SAAD.

Wednesday 17 July 2013

MAMBO YANAYO NA YASIYO TENGUA SWAUMU

Asalam Alaykum
ni matumaini yangu kwamba wote tunaendelea vyema na swaumu na Alhamdullillah Mmungu anajaalia siku zinakwenda si haba .
basi ikiwa bado tunafanya ibada na kutenda yalomema basi si vibaya tukiambizana na kujulishana ili swaum zetu ziweze kuwa kamili na Mmungu akazipokea Inshaalah.
 
yafuatayo ni mambo yanayotengua swaum na yasiyotengua swaum pitia.
 




credit to Ankal Issa Michuzi.

Friday 12 July 2013

RAMADHAN KAREEM


Asalam alaykum wadau wangu ,
Nawatakia kheri na baraka ktk mwezi wetu huu mtukufu,na inshaalah Mmungu apokee swaumu zetu ,atupe bara ka zake nafunga zetu azipokee inshaala...
Aaamin



ramadhan Kareem waislam wote.
kithuraah wa kaumo