Friday 12 July 2013

RAMADHAN KAREEM


Asalam alaykum wadau wangu ,
Nawatakia kheri na baraka ktk mwezi wetu huu mtukufu,na inshaalah Mmungu apokee swaumu zetu ,atupe bara ka zake nafunga zetu azipokee inshaala...
Aaamin



ramadhan Kareem waislam wote.
kithuraah wa kaumo

2 comments:

  1. Ramadhan Kareem kwako pia mdada,umependeza maashallah uwe hivo vivo na mfungo ukiisha

    ReplyDelete
  2. pendeza mnooo kithura... ubaki hivo hivo siku zote..

    ReplyDelete