Saturday 20 July 2013

MMILIKI WA HOME SHOPPING CENTRE SAID MOHAMMED SAAD AMWAGIWA TINDIKALI.




Habari za kusikitisha zimetufikia kwamba ,mfanyabiashara maarufu na Mmiliki wa Home Shopping Centre amwagiwa tindikali na mtu asiyejulikana wakati alipokua anapata ftari hiyo jana jioni .

ambaye aliyefanya unyama huo alifanikiwa kukimbia na mpaka sasa polisi wanaendelea na uchunguzi wakati Bw. Said akiwa anaendelea kupatiwa matibabu katika hospitali ya AMI iliyopo Masaki.

MUNGU AMPE AHUWENI BW SAID MOHAMMED SAAD.

1 comment:

  1. hujambo pili? kama unataka ku-customize template ya blogu yako nitafute

    ReplyDelete