Monday 30 April 2012

DIAMOND AFANYA KWELI DAR LIVE

kama alivoahid msaanii hot kwa sasa Diamond Platinumz a.k.a Sukari ya Warembo ashuka kwa helkopta ktk ukumbi wa Dar Live km alivoahıdı huku washbiki wakimpokea kwa shangwe kubwa
here are some pıctures
salute 

akısali kabla ya safari kuanza

helkopta ikizunguka ktk viwanja vya DarLive

mashabiki ktk vıwanja va Dar Live

akıpıga Salute kwa Rubani baada ya kutua ktk viwanja vya Dar Live
BİG UP TO DIAMOND THE PLUTİNUMZ....

Thursday 19 April 2012

WERAAA CAKE HIYO

HAYA SASA CAKE NDO HIYOO MAHARUSI WATARAJIWA

WALLETS WALLETS WALLETS FOR MEN N WOMEN NGOZI YA UKWELI


RED POCH

ANY COLOUR YOU WANT

HAYA RANGI HIYO

KEMBE KWA WANAWAKE

YA KIUME KWA NDANI

YA KIUME KWA NJEE FULL NGOZI JAMANI

NGOZI YA KIKE KWA NJE

KITU NGOZI YA KIKE HII KWA NDANI
HAYA WALLETS NDO HIZO WADAU 
HIZO ZA COLOUR NYINGI BEI 15,000TSHS KWA MOJA
ZA KIKE ZA NGOZI BEI 25,000
ZA KIUME ZA NGOZI 25,000
WAHI SASA KABLA HAZIJAISHA...
MAWASILIANO:: 0716 666640
TOA ODA YAKO ULETEWE POPOTE  ULIPO..
AHSANTEN

Thursday 12 April 2012

JE UNAJUA MAANA HALISI YA MAJINA WALOKUWA WANAITANA LULU NA KANUMBA (CINDY NA MOPAO) ?

Kiudadisi zaidi tunajua kwamba kulikua na siri nzito kuhusiana na mahusiano kati ya lulu na kanumba ,na ni watu wachache nnaimani waliweza kugundua uhusianao huo .
lkn baada ya hili kutokea wadadisi wakatafuta meaning za majina walokua wanaitana kanumba na lulu especially kwenye twitter wakati hayati alikua akiitwa MOPAO na lulu na wakati huo huo lulu alikua akiitwa CINDY.
kutokana na maelezo wakati wa uhai wake hayati kanumba alikua anapenda sana bolingo na mwimbaji alokua akimvutia zaidi ni KOFFI OLOMIDE ambaye kwa jina la kazi anajulikana kama MOPAO LOKOZI na pia kwa wakati huo huo koffi olomide alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na dancer wake ambaye kwa sasa ni mke wake wa ndoa kwa jina anaitwa CINDY LE COER na pia inasemekana kwamba mahusiano kati ya Mopao Koffi na Cindy yalikua ya siri sana na hata waandishi walipojaribu kuhoji pia walikataa,lkn siri ikaja kugundulika siku ya birthday ya cindy ambapo Koffi alimzawadia Baba wa Cindy Gari aina ya Jaguar na mpaka leo Cindy ambaye anakuja kwa kasi kwenye wanamuziki wa kike na amejizolea umaarufu kwa nyimbo zake za Koffi Chante Cindy .
Je umepata picha kamili dhidi ya lulu na Hayat Kanumba ?
kwa mimi nimoena ni kweli jamaa alikua anamuandaa huyu binti ili aje kua mkewe na hivyo hakutaka kila mtu ajue hili mapema mpaka wkt ambao alikua anausubiri yeye ungekua sawa kutangaza rasmi huu uchumba ,lkn kwa kua Mmungu anamipango yake basi sisi binadamu hatuna budi kuipinga,.huo ndo ukweli Kuhusu mahusiano haya..
HIZI NI BAADHI YA TWEETS ZA HAYATI KANUMBA NA LULU







Wednesday 11 April 2012

LULU APANDISHWA KIZIMBANI KWA SIRI


Elizabeth Michael (Lulu) leo amepandishwa
kizimbani katika Mahakama ya Hakimu
Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam na
kusomewa shitaka la mauaji.
Lulu alipandishwa kizimbani kwa usiri akitokea Kituo cha Polisi cha
Oysterbay alikokuwa akishikiliwa na
kupandishwa kizimbani moja kwa moja bila
kuwekwa mahabusu
kama iwavyo kwa washitakiwa wengine
wanaosubiri kusomewa kesi zao.
Baada ya kupandishwa kizambani
alisomewa shitaka lake na Mwendesha
Mashtaka Mkuu wa Mahakama hiyo,
Elizabeth Kaganda ambapo alisema Mnamo
Aprili 7 mwaka huu majira ya saa saba za
usiku maeneo ya Sinza Vatican jijini Dar es
Salaam Elizabeth Michael (18) alimuua
Steven Kanumba. Katika kesi hiyo
mshitakiwa hakutakiwa kujibu lolote
isipokuwa alinyoosha kidole na kupinga
umri uliotajwa kuwa ana miaka 18 na
kusema umri wake ni miaka 17. Baada ya
kusomewa shitaka hilo, Lulu alipelekwa
gerezani Segerea na kesi yake itasikilizwa
tena aprili 23/2012

Tuesday 10 April 2012

MAMIA YA WATZ WAJITOKEZA KUMZIKA THE GREAT


kwa kweli hii haijawahi kutokea since kifo cha Baba wa taifa lkn leo ndio ilivyokuwa ktk viwanja vya leaders,maelfu ya watu walifurika ktk kumuaga na kumzika The Great kwa kweli ingekua km Mungu angempa uwezo wa kuona ule umati kwa kweli cjui angefarijikaje but ndo mipango ya mola haina makosa..
kutokana na umati uliofurika ilishindikana hata nafasi ya kutoa shukurani za mwisho kwa kipenz chetu Hayati Steven Charles Kanumba.
Nnaimani huko aliko ameckia jinci gani watu walikuwa wanamkubali na kumpenda lkn kwa kuwa Mungu alimpenda zaidi yetu ss hatuna budi kushkuru na kumuombea salama huko aliko mpendwa wetu,
Naimani tulikua tunamkubali sana kanumba pamoja na kazi zake zote na pia amejitahidi kufufua vipaji vingi ikiwemo vya watoto kina jenifer na wengineo wote ambao alikua anafanya nao kazi .hivyo basi kwa wale ambao tumebaki na tutumie vyema kauli zake nzuri na pia kazi zake na yote mema yake ..

REST IN PEACE STEVEN CHARLES KANUMBA 1984-2012
ME NA SINTA

VIONGOZI WAKITOA HESHIMA ZA MWISHO

KINA JENIFER WAKIELEKEA ULIPO MWILI WA MAREHEMU
MAMA KANUMBA AKIPUNGIA MKONO WASHABIKI
MAMA K AKIINGIA MAKABURINI KUMZIKA

HEMED NA YUSUPH MLELA
MWISHO WA THE GREAT
MAMA KANUMBA AKIONGEA NA MWANAE KWA MARA YA MWISHO

MWISHO WA KANUMBA..RIP KANUMBA

MILLAN MAGESE AKIWEKA SHADA LA MAUA

KABURI LA STEVEN KANUMBA

JENEZA LIKIINGIZWA KABURINI.





Monday 9 April 2012

HAYATI KANUMBA KUAGWA NA KUZIKWA KESHO.

Habari wapenzi .
Tukiwa bado ktk majonzi ya mpendwa wetu Hayati Steven Kanumba..
Jumanne tar 10/04/2012 ndio cku ambayo tutamzika mpendwa wetu ktk makaburi ya kinondon na pia tutamuaga maeneo ya viwanja vya leaders kuanzia sa 4 asubuhi ..

RIP the Great Steven Kanumba

Sunday 8 April 2012

MSHINDI WA IMBA CHEZA KM RIHHANA APATIKANA

LIKE ABRAHAM ,mshindi wa cheza  imba km rihhana

akikabidhiwa hundi ya Mil10 na mwandaaji wa shindano

top three ya imba na cheza km rihhana

haya yule mshindi ndo huyooooo hapo tena wadau wangu mil 10 ziko mikononi mwake ss ,,furaha yake jamani ...
happy easter wadauzzz

RAISI JAKAYA MRISHO KIKWETE AENDE KUTOA MKONO WA RAMBI RAMBI

MH. JK akiwa  Msiban pembeni ni Jb na Ray

akitoa mkono wa pole kwa ndugu wa kanumba

Mkono wa Pole kwa wasanii


pole sana kijana yote ni mipango ya Mungu so tumuombee

RIP STEVEN KANUMBA THE GREAT

watanazania na Africa mashariki kwa ujumla tuna majonzi kwa huu msiba mzito wa msanii maarufu wa filamu Steven Kanumba kilichotokea usiku wa kuamkia jumamosi ya pasaka tar 06/04/2012 ..
kwa vyazo vingi vya habari na maelezo kutoka kwa mdogo wake ambaye alikuwepo nyumbani kwake wakati umauti unamfika ambapo hadi ss uchunguzi unaendelea kujua ni nn hasa kimemuua bwn huyu ,japo hadi ss msanii Elizabeth Michael(Lulu) bado ameshikiliwa na polisi kufuatilia kifo cha bwn huyu.
inasadikika kuwa siku hiyo ya ijumaa usiku lulu na kanumba walikua wote chumbani na ikasemekana kuwa kujlikua na mzozo mzito baina ya wawilihawa kuhusu simu ya bibie lulu ambapondio chanzo cha ugomvi huo ambapo ilianzisha mtafaruku mkubwa lkn wakiwa wamejifungia ndani japo mdogo wa kanumba alisisitiza mlango ufunguliwe lkn hawakufungua kwa muda tu ambapo bdae lulu alitoka kwenda kumtaarifu mdogo wake kanumba kwamba kanumba ameanguka baada ya kutoa taarifa hizo lulu alikimbia na hakuonekana ktk eneo la tukio ..hvyo basi akapelekwa hosp akiwa tayari maiti na utaratibu mzima ulianza wa kuhifadhi maiti ya hayati kanumba .
hadi ss mtuhumiwa yuko mikononi mwa sheria na hajaopngea chochote kuhusiana na sababu hasa ya umauti huo .
watanzania tuko kwenye msiba mzito naamini ni wengi umewagusa huu msiba na mimi nikiwemo kwani alikua kweli kioo cha jamii kutokana na film zake ambazo ameziacha na nyingine ambazo alikuwa badohajaziandaa,pia watanzania tunamkubali kwa uwezo alokua nao kwa kuinua vipaji na pia kutoa ajira sababu kua muigizaji ni ajira tosha,,
Mungu Ailaze roho ya marehemu kanumba mahala pema peponi Amin