Tuesday 10 April 2012

MAMIA YA WATZ WAJITOKEZA KUMZIKA THE GREAT


kwa kweli hii haijawahi kutokea since kifo cha Baba wa taifa lkn leo ndio ilivyokuwa ktk viwanja vya leaders,maelfu ya watu walifurika ktk kumuaga na kumzika The Great kwa kweli ingekua km Mungu angempa uwezo wa kuona ule umati kwa kweli cjui angefarijikaje but ndo mipango ya mola haina makosa..
kutokana na umati uliofurika ilishindikana hata nafasi ya kutoa shukurani za mwisho kwa kipenz chetu Hayati Steven Charles Kanumba.
Nnaimani huko aliko ameckia jinci gani watu walikuwa wanamkubali na kumpenda lkn kwa kuwa Mungu alimpenda zaidi yetu ss hatuna budi kushkuru na kumuombea salama huko aliko mpendwa wetu,
Naimani tulikua tunamkubali sana kanumba pamoja na kazi zake zote na pia amejitahidi kufufua vipaji vingi ikiwemo vya watoto kina jenifer na wengineo wote ambao alikua anafanya nao kazi .hivyo basi kwa wale ambao tumebaki na tutumie vyema kauli zake nzuri na pia kazi zake na yote mema yake ..

REST IN PEACE STEVEN CHARLES KANUMBA 1984-2012
ME NA SINTA

VIONGOZI WAKITOA HESHIMA ZA MWISHO

KINA JENIFER WAKIELEKEA ULIPO MWILI WA MAREHEMU
MAMA KANUMBA AKIPUNGIA MKONO WASHABIKI
MAMA K AKIINGIA MAKABURINI KUMZIKA

HEMED NA YUSUPH MLELA
MWISHO WA THE GREAT
MAMA KANUMBA AKIONGEA NA MWANAE KWA MARA YA MWISHO

MWISHO WA KANUMBA..RIP KANUMBA

MILLAN MAGESE AKIWEKA SHADA LA MAUA

KABURI LA STEVEN KANUMBA

JENEZA LIKIINGIZWA KABURINI.





No comments:

Post a Comment