Thursday 12 April 2012

JE UNAJUA MAANA HALISI YA MAJINA WALOKUWA WANAITANA LULU NA KANUMBA (CINDY NA MOPAO) ?

Kiudadisi zaidi tunajua kwamba kulikua na siri nzito kuhusiana na mahusiano kati ya lulu na kanumba ,na ni watu wachache nnaimani waliweza kugundua uhusianao huo .
lkn baada ya hili kutokea wadadisi wakatafuta meaning za majina walokua wanaitana kanumba na lulu especially kwenye twitter wakati hayati alikua akiitwa MOPAO na lulu na wakati huo huo lulu alikua akiitwa CINDY.
kutokana na maelezo wakati wa uhai wake hayati kanumba alikua anapenda sana bolingo na mwimbaji alokua akimvutia zaidi ni KOFFI OLOMIDE ambaye kwa jina la kazi anajulikana kama MOPAO LOKOZI na pia kwa wakati huo huo koffi olomide alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na dancer wake ambaye kwa sasa ni mke wake wa ndoa kwa jina anaitwa CINDY LE COER na pia inasemekana kwamba mahusiano kati ya Mopao Koffi na Cindy yalikua ya siri sana na hata waandishi walipojaribu kuhoji pia walikataa,lkn siri ikaja kugundulika siku ya birthday ya cindy ambapo Koffi alimzawadia Baba wa Cindy Gari aina ya Jaguar na mpaka leo Cindy ambaye anakuja kwa kasi kwenye wanamuziki wa kike na amejizolea umaarufu kwa nyimbo zake za Koffi Chante Cindy .
Je umepata picha kamili dhidi ya lulu na Hayat Kanumba ?
kwa mimi nimoena ni kweli jamaa alikua anamuandaa huyu binti ili aje kua mkewe na hivyo hakutaka kila mtu ajue hili mapema mpaka wkt ambao alikua anausubiri yeye ungekua sawa kutangaza rasmi huu uchumba ,lkn kwa kua Mmungu anamipango yake basi sisi binadamu hatuna budi kuipinga,.huo ndo ukweli Kuhusu mahusiano haya..
HIZI NI BAADHI YA TWEETS ZA HAYATI KANUMBA NA LULU







1 comment:

  1. Dooh aisee hii stori eeh inaenda sana na tukio hapa ndo umenifungua mazima..Mungu anamipango yake tumrudieni jmn

    ReplyDelete