Sunday 8 April 2012

RIP STEVEN KANUMBA THE GREAT

watanazania na Africa mashariki kwa ujumla tuna majonzi kwa huu msiba mzito wa msanii maarufu wa filamu Steven Kanumba kilichotokea usiku wa kuamkia jumamosi ya pasaka tar 06/04/2012 ..
kwa vyazo vingi vya habari na maelezo kutoka kwa mdogo wake ambaye alikuwepo nyumbani kwake wakati umauti unamfika ambapo hadi ss uchunguzi unaendelea kujua ni nn hasa kimemuua bwn huyu ,japo hadi ss msanii Elizabeth Michael(Lulu) bado ameshikiliwa na polisi kufuatilia kifo cha bwn huyu.
inasadikika kuwa siku hiyo ya ijumaa usiku lulu na kanumba walikua wote chumbani na ikasemekana kuwa kujlikua na mzozo mzito baina ya wawilihawa kuhusu simu ya bibie lulu ambapondio chanzo cha ugomvi huo ambapo ilianzisha mtafaruku mkubwa lkn wakiwa wamejifungia ndani japo mdogo wa kanumba alisisitiza mlango ufunguliwe lkn hawakufungua kwa muda tu ambapo bdae lulu alitoka kwenda kumtaarifu mdogo wake kanumba kwamba kanumba ameanguka baada ya kutoa taarifa hizo lulu alikimbia na hakuonekana ktk eneo la tukio ..hvyo basi akapelekwa hosp akiwa tayari maiti na utaratibu mzima ulianza wa kuhifadhi maiti ya hayati kanumba .
hadi ss mtuhumiwa yuko mikononi mwa sheria na hajaopngea chochote kuhusiana na sababu hasa ya umauti huo .
watanzania tuko kwenye msiba mzito naamini ni wengi umewagusa huu msiba na mimi nikiwemo kwani alikua kweli kioo cha jamii kutokana na film zake ambazo ameziacha na nyingine ambazo alikuwa badohajaziandaa,pia watanzania tunamkubali kwa uwezo alokua nao kwa kuinua vipaji na pia kutoa ajira sababu kua muigizaji ni ajira tosha,,
Mungu Ailaze roho ya marehemu kanumba mahala pema peponi Amin


No comments:

Post a Comment