Wednesday 18 January 2012

IGA UFEE

UNYAYOOOOOOOOOOO

AKHAA !! ETI COLOUR COMBO DUH

ktk pita pita yangu y udadis nkakumbana na hii picha ss maswali najiuliza hii fashion au wamewabebea galfrend zao au nn nkajikuyta cpati jibu Sa cjui ndo mambo ya colour combo ,,em nisaidie wadau wangu humuuu..
HAO APO

Monday 16 January 2012

JUA JINSI YA KUTENGENEZA JUICE YA UKWAJU NA FAIDA ZAKE KTK MWILI

Tulio wengi tunapenda kutumia ukwaju japo wachache sana hawapendelei wakidai kwamba unakwangua utumbo na kuweza kuababisha vidonda vya tumbo 
,lkn hapana ukwaju unafaida sana kwa afya zetu ,mimi binafsi na upenda sana japo nakumbuka kipindi cha miaka hiyo bado niko mdogo unapita kigengeni unanunua unaweka chumvi unakula co hivyo tuu ,bali unaweza kutengeneza juice ukanywa.

ukwaju(tamarind)
UANDAAJI WA JUICE YA UKWAJU
Juice ya Ukwaju

 Nunua ukwaju unapatikana sana sokoni
  • andaa maji kwenye dishi na uoshe kidogo tuu 
  • baada ya kuuosha chukua ukwaju wako weka kwenye sufuria yenye maji ya saizi na injika jikoni 
  • uache uchemke hasa ht kwa dakika 10/15 ili uuwe vijidudu 
  • ipua ukwaju wako jikoni na uache kwa muda upoe 
  • andaa maji yako masafi na chujio ili uweze kuchuja juice yako kwa uangalifu zaidi ili upate juice yenyewe
  • weka sukari kwa kiasi unachopendelea 
  • pia ili kupunguza ukali unaweza ukaweka hiliki au vanila ili kupata taste 
  • weka juice yako kwenye fridge ili ipoe tayari kwa kunywa 



Faida 10 za ukwaju:


  1. Chanzo kizuri cha viuasumu mwilini 'antioxidants' ambavyo huzuia Saratani (cancer)
  2. Chanzo cha Vitamini B na C vile vile "carotentes"
  3. Hushusha joto la mwili na kuondosha homa, hasa homa ya malaria na homa ya matumbo
  4. Huulinda mwili dhidi ya mafua na kero za mafua kooni
  5. Husaidia myeyusho na mmengenyo wa chakula na kuondosha kuvimbiwa
  6. Husaidia kutibu matatizo ya nyongo (bile disorders)
  7. Husaidia kurahisisha choo (laxative)
  8. Husaidia kupunguza wingi wa lehemu (cholesterol) na hivyo kuimarisha moyo
  9. Husaidia ngozi kuwa nyororo, vile vile husaidia ngozi inayopona baada ya kuungua au yenye vidonda
  10. Husaidia kuua minyoo tumboni (kwa watoto wadogo)

NB: Ikiwa ukwaju na asali havikudhuru, basi changanya hivyo viwili ili kupata faida maradufu!

MISHONO YA VITENGE KWA WASICHANA/WAMAMA

MISHONO

WAMEPENDEZA

SOO LOVELY JMN

RANGI NZURI ,MSHONO MZURI LOLS

HALI YA VENGU BADO NI TATA INATAKIWA MIL 320 KWA MATIBABU

VENGU AKIWA MAHUTUTI KITANDANI(HALI ALONAYO SASA)

VENGU ENZI ZAKE KABLA YA KUUMWA



hali ya aliyekuwa mchekeshaji m,aarufu wa kundi la Orijino komedy "Vengu " imezidi kua mbaya .
Vengu amekuwa akisumbuliwa kwa muda mrefu na maradhi yanayoshambulia seli za mfumo wa fahamu kichwani ambayo kitaalamu yanaitwa Brain au Cerebral Atrophy na kumsababishia seli za kichwani kukosa mawasiliano huku wakati mwingine akipoteza fahamu.
Kwa mujibu wa daktari mtaalamu wa magonjwa hayo, kwa dalili za Vengu, ugonjwa mwingine unaoweza kuwa jirani ni Brain Tumor ambao husababishwa na ukuaji usiokuwa wa kawaida wa seli za kichwani.
MATIBABU YAKE NI MIL. 320..
jitihada bado zinafanyika ili kunusuru maisha ya msanii wetu Vengu..

Wednesday 11 January 2012

MKONGWE WA MAIGIZO MZEE KIPARA AFARIKI DUNIA

enzi za uhai wake
Aliyekuwa nguli wa maigizo kupitia Kaole sanaa Group ,Mzee Fundi Saidi akijulikana km Mzee Kipara afariki dunia leo sa 2 asubuhi 11/01/2012,amefariki akiwa na umri wa miaka 89 na alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa miguu zaidi ..ni kioo chetu cha jamii ambaye alituelimisha kupitia maigizo yake alowahi kuigiza
Mungu ailaze pema peponi roho ya marehemu mzee wetu..AAMEN

Tuesday 10 January 2012

ANGALIZO KWA WADADA NA WA KAKA KUHUSU KULOCK GARI WAKATI UPO NJIANI



Amini usiamini ,jana nimeshuhudia kwa macho yangu mawili bila kuhadithiwa mtu anaibiwa akiwa ndani ya gari ,ilikuwa hivi ,ni mida ya sa5 ucku nikiwa na rafkiangu tukielekea mataa ya chang'ombe mbele yetu kulikua kuna tax kwa sababu ucku watu hawafatishi sana taa jamaa akawa amesimamisha gari like anasubiria taa sisi tunakuja nyuma distance ya Mita100 au 200 yani kuna jamaa alikuwa km anavuka barabara kumbe ilikuwa geresha tukashangaa kafungua mlango wa upande wa abiri kulikuwa na mdada kajiachia na pochi yake basi ndo hiyo aloibeba na kukimbilia vichakani i was like in a cinema ujue ckuamini nlichokiona..
So ndugu zangu wenye usafiri binafsi au hata mnapendelea kuchkua tax kuweni makini sana kutia Lock za milango ili lisikukute km hili ,cz kuna watu hawaogopi jamani yani kabsa soo ili kujiepusha na hili tukumbuke kuweka LOCK milango ya magari nasisitiza sana hili jamani cz nkikumbuka ile picha natamani kulia  ..
NB: VIOO PIA NI MUHIMU KUFUNGA UKIWA SEHEMU YA HATARI ESPECIALLY KWENYE FOLENI SISI WADADA TUNAJISAHAU SANA JMN .


KUWA SMART NA GARI LAKO
SO CHUKUA HATUA N MEK SURE THAT YOU LOCK ALL THE DOORS OF YOUR CAR BEFOR STARTING SAFARI MANA KUNAWATU WAPO KWA AJILI YA KUTIA WENZAO UMASKINI

SALE SALE SALE @ KIKI FASHION MIKOCHENI,,FLAVIANA MATATA FOUNDATION FMF



MWAMVITA MAKAMBA NA FLAVIANA MATATA wameamua kufanya sale ya vitu vyao binafsi ili kuchangia watoto wa kike wanaoishi katika mazingira magumu ,na wale ambao wamefaulu kuingia secondary lkn hawana uwezo wa kujjisomesha s wamepatikana wasichana 20 toka mwanza,Arusha,Dar,na Mbeya,
huu ni mwanzo mzuri kama tukishiriki wote kwa pamoja kuchangia foundation hii itasaidia sana kwa wasichana wenzetu walioko ktk mazingira magumu

 EVENT: FUNDRISING
PLACE: KIKI'S FASHION MIKOCHENI(tanesco next Engen petrol station/barclays bank)

DATE: 14/01/2012 JUMAMOSI HII
TIME: 10AM TO 07PM
KARIBUNI WOTE

Monday 9 January 2012

COLOUR OF THE YEAR ORANGE WITH GREEN ,,INANOGAJEE EBU ONA HII

KWA KWELI NLIPENDA NA NNAPENDA NA INAPENDEZA SANA UKIPATA DESIGNER MZURI AKADESIGNER COLOURS ZINAZOMATCH JAMAN INAKUWA  KM HIVI
UKUMBI

INAPENDEZA

NILIGUSWA NA HICHO KIUA KILIVONING'INIA

BIBIE MTARAJIWA THOSE COLOURS UUWII

MATRON NAE LOLS PENDA THS

@KAWE CLUB WITH MOWO

Jumamosi tar 7/01/2012 @kawe club na modernised women (MOWO)
nliinjoije ile misamaki mana nlichelewa kufika lkn ckukuta makombo..
warembo wa MOWO 
                                                  Lady ZSilver and Moshi (MOWO PRODUCT)



AWENA NA LADY SYLVER PENDEZA
LADY SILVER AND ANNA

ME AND REDDY
MAGGY THE ADMIN MOWO





Thursday 5 January 2012

Lady B still run the wolrd .....



Lady B still Rock ,she is still a Diva ,pamoja na kwamba tumbo limeshakuwa lakini bado anapigilia mapigo yake ya kidiva diva ,nampenda sana huyu dada jamani hana maskendo ya ajabu ajabu km wengine ,
km unavoona picha hapo juu ndo hali aliyonayo sasa lakini bado yuko mwaaaaaah ,n fashion mwanzo mwisho high heels ndo hivo yani hadi mmewe ameamua kumuekea ulinzi wa kutosha ,,i wish na mm nipate mume mwenye mapenz km Jay Zee..
solange is verry proud for her sis and she says "my sister is the cute is the custest pregnant women ever "
 nimeipenda hii ..

oll the best ladyB

Nelly 4th Runner Up on Miss Tourism Queen International 2011

hongera sana nelly kwa kua ndani ya top five ya miss Tourism Queen Internationa 2011,,
u luk gorgeous dear ..

keep it up n maintain your status as queen..
Tanzania tunaweza jamani tusijidharau Nelly huyo anashine

Wednesday 4 January 2012

mtoto apuliza sigara 40 kwa siku ..lols



leo katika pita pita zangu wapenz mkakutana na hiki kitoto cha kiindonesia ambacho kinavuta sigara 40 kwa siku ,kina umri wa miaka 4 sasa ila kinavuta sigara balaa, na endapo wazazi wake wakiamua kutompa basi humo ndani hapakaliki kwani fujo mtindo mmoja mara avunje vitu anajipiga kichwa ukutani ,,
ss mi naudaku wangu najiuliza hivi huyu mtoto akikua itakuwaje? mana ss hivi anawapahenyahenya wazazi wake pound 3.8 kwa siku wanatumia ..

LILIAN MWASHA'Z SEND OFF


kiufupi tu huyu dada alipendeza sana na pia kilichonivutia zaidi ni hizo colours jinc zilivyopangwa ,kumbe orange na light blue inakuja eeh mana amenoga ,,na huo ukumbi umepambwa hasa ukapambika ..


Hello
herry ya mwakampya wapenzi wa kithura blog ,,
i hope mko poa kama mm japokuwa ni ubize tuu ndo unaonifanya nisuse kuingia kwenye blog lkn narekebisha mambo yatakuwa sawa sun na tuitakuwa pamoja ,,jmn nimewamiss ..
haya na tuuanze mwaka 2012 kwa furtaha , na uchapakaji kazi mi binafsi huu mwaka ctaki kuuharibu nataka nitulie nifanye yanayohusu zaidi nitenmgeneze maisha ,,..