Monday 16 January 2012

HALI YA VENGU BADO NI TATA INATAKIWA MIL 320 KWA MATIBABU

VENGU AKIWA MAHUTUTI KITANDANI(HALI ALONAYO SASA)

VENGU ENZI ZAKE KABLA YA KUUMWA



hali ya aliyekuwa mchekeshaji m,aarufu wa kundi la Orijino komedy "Vengu " imezidi kua mbaya .
Vengu amekuwa akisumbuliwa kwa muda mrefu na maradhi yanayoshambulia seli za mfumo wa fahamu kichwani ambayo kitaalamu yanaitwa Brain au Cerebral Atrophy na kumsababishia seli za kichwani kukosa mawasiliano huku wakati mwingine akipoteza fahamu.
Kwa mujibu wa daktari mtaalamu wa magonjwa hayo, kwa dalili za Vengu, ugonjwa mwingine unaoweza kuwa jirani ni Brain Tumor ambao husababishwa na ukuaji usiokuwa wa kawaida wa seli za kichwani.
MATIBABU YAKE NI MIL. 320..
jitihada bado zinafanyika ili kunusuru maisha ya msanii wetu Vengu..

No comments:

Post a Comment