Tuesday 10 January 2012

ANGALIZO KWA WADADA NA WA KAKA KUHUSU KULOCK GARI WAKATI UPO NJIANI



Amini usiamini ,jana nimeshuhudia kwa macho yangu mawili bila kuhadithiwa mtu anaibiwa akiwa ndani ya gari ,ilikuwa hivi ,ni mida ya sa5 ucku nikiwa na rafkiangu tukielekea mataa ya chang'ombe mbele yetu kulikua kuna tax kwa sababu ucku watu hawafatishi sana taa jamaa akawa amesimamisha gari like anasubiria taa sisi tunakuja nyuma distance ya Mita100 au 200 yani kuna jamaa alikuwa km anavuka barabara kumbe ilikuwa geresha tukashangaa kafungua mlango wa upande wa abiri kulikuwa na mdada kajiachia na pochi yake basi ndo hiyo aloibeba na kukimbilia vichakani i was like in a cinema ujue ckuamini nlichokiona..
So ndugu zangu wenye usafiri binafsi au hata mnapendelea kuchkua tax kuweni makini sana kutia Lock za milango ili lisikukute km hili ,cz kuna watu hawaogopi jamani yani kabsa soo ili kujiepusha na hili tukumbuke kuweka LOCK milango ya magari nasisitiza sana hili jamani cz nkikumbuka ile picha natamani kulia  ..
NB: VIOO PIA NI MUHIMU KUFUNGA UKIWA SEHEMU YA HATARI ESPECIALLY KWENYE FOLENI SISI WADADA TUNAJISAHAU SANA JMN .


KUWA SMART NA GARI LAKO
SO CHUKUA HATUA N MEK SURE THAT YOU LOCK ALL THE DOORS OF YOUR CAR BEFOR STARTING SAFARI MANA KUNAWATU WAPO KWA AJILI YA KUTIA WENZAO UMASKINI

No comments:

Post a Comment