Wednesday 4 January 2012

mtoto apuliza sigara 40 kwa siku ..lols



leo katika pita pita zangu wapenz mkakutana na hiki kitoto cha kiindonesia ambacho kinavuta sigara 40 kwa siku ,kina umri wa miaka 4 sasa ila kinavuta sigara balaa, na endapo wazazi wake wakiamua kutompa basi humo ndani hapakaliki kwani fujo mtindo mmoja mara avunje vitu anajipiga kichwa ukutani ,,
ss mi naudaku wangu najiuliza hivi huyu mtoto akikua itakuwaje? mana ss hivi anawapahenyahenya wazazi wake pound 3.8 kwa siku wanatumia ..

No comments:

Post a Comment