Wednesday 11 January 2012

MKONGWE WA MAIGIZO MZEE KIPARA AFARIKI DUNIA

enzi za uhai wake
Aliyekuwa nguli wa maigizo kupitia Kaole sanaa Group ,Mzee Fundi Saidi akijulikana km Mzee Kipara afariki dunia leo sa 2 asubuhi 11/01/2012,amefariki akiwa na umri wa miaka 89 na alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa miguu zaidi ..ni kioo chetu cha jamii ambaye alituelimisha kupitia maigizo yake alowahi kuigiza
Mungu ailaze pema peponi roho ya marehemu mzee wetu..AAMEN

2 comments:

  1. maskin jaman Mungu ametwaa R.i.p mzee Kipara nakumbukaga enzi hizooo tv kwa mjumbe tunamsikiliza kwa radio...

    ReplyDelete
  2. R.I.P MZEE KIPARA,,SANA TUU ENZI ZILE KINA CHENI ,KANUMBA ,MUHOGO MCHUNGU JMN WAMETOKA MBALI HAWA WATU

    ReplyDelete