Tuesday 10 January 2012

SALE SALE SALE @ KIKI FASHION MIKOCHENI,,FLAVIANA MATATA FOUNDATION FMF



MWAMVITA MAKAMBA NA FLAVIANA MATATA wameamua kufanya sale ya vitu vyao binafsi ili kuchangia watoto wa kike wanaoishi katika mazingira magumu ,na wale ambao wamefaulu kuingia secondary lkn hawana uwezo wa kujjisomesha s wamepatikana wasichana 20 toka mwanza,Arusha,Dar,na Mbeya,
huu ni mwanzo mzuri kama tukishiriki wote kwa pamoja kuchangia foundation hii itasaidia sana kwa wasichana wenzetu walioko ktk mazingira magumu

 EVENT: FUNDRISING
PLACE: KIKI'S FASHION MIKOCHENI(tanesco next Engen petrol station/barclays bank)

DATE: 14/01/2012 JUMAMOSI HII
TIME: 10AM TO 07PM
KARIBUNI WOTE

No comments:

Post a Comment