Thursday 9 October 2014

MAHABA YA TATTOO: NICK CANNON AZIBA TATOO YAKE

NICK CANNON NA MARIAH CAREY

KIPINDI CHA MAHABA NIUWE
kipindi cha mahaba mazito kati ya wanandoa waliotengana hivi karibuni Nick na Mariah ambao walifanikiwa kuwa mke na mume kwa kipindi cha miaka 6 na kubahatika kupata watoto wawili.
ambapo Nick Canon alichora tatoo kubwa ya jina la MARIAH ktk mgongo wake ikiwa ishara ya upendo katika na zawadi katika siku yao ya ndoa.

hivi karibuni katika siku yake ya kuzaliwa, Nick akutwa akiwa ameiziba ile tatoo ya Mariah kwa kuweka picha ya Yesu msalabani Pamoja na mabawa ya malaika.


MUONEKANOI MPYA WA TATTO YA NICK BAADA YA KUIZIBA

hii imetokea baada ya wawili hawa kukamilisha maswala mazima ya divorce.

haya wale wenzetu wenye mahaba niue kabla hata ya ndoa na matatoo makubwa yenye majina ya wapenzi wao kwenye miilio yao wapate fundisho.
kwani hakuna mwanzo usiokuwa na mwisho..
hapa bongo yupo mmoja anajulikana na wengine hawajulikani.

No comments:

Post a Comment