Thursday 9 October 2014

TRAFICK WALIOPIGA PICHA YA MAHABA WAFUKUZWA KAZI


Askari wa kikosi cha usalama barabarani waliopiga picha wakibusiana wakiwa ndani ya sare za jeshi la polisi na picha zao kuzaaga mitandaoni watimuliwa kazi.

kamanda wa polisi wa mkoa wa kagera Bwn Henry Mwaibabe amethibitihsa hilo leo kwa waandishi wa habari mkoani humo kuwa, askari hao na mwenzao alio wapiga picha wametambuliwa na wameshafukuzwa kazi kwa kitendo hicho cha kudhalilisha jeshi la polisi.

Kamanda Mwaibabe amewataja askari hao ni PC Asuma Mpaji Mwasumbi mwenye no F.7788, PC Fadhiri Linga mwenye no G2122 na PC Veronica Nazaremo Mdeme, wote walikua askari wa kikosi cha barabarani wilayani Misenyi, mkoa wa Kagera..

KUWENI MAKINI NA SIMU JAMENI NA HII DUNIA YA UTANDAWAZI HAWA NDO WASHAKOSA KAZI TENA..

No comments:

Post a Comment