Thursday 2 October 2014

T444Z HAIR FOOD -60,000/=

T444Z HAIR FOOD
Ni mafuta ambayo ukianza kutumia hutaweza kujutia pesa yako.
ni kwa Tshs 60,000/= unapata popote ulipo
Piga : 0716 6666640
#KithuraahCollections


JINSI YA KUTUMIA
  1. Osha nywele zako hakikisha zimekua safi
  2. kausha nywele zako kwa towel na uhakikishe zimekauka vizuri
  3. Paka T444Z chini ya ngozi kwa design ya kukata mistari.
  4. Changanya mafuta kichwa kizima na kuhakikisha yameenea kote.
  5. Chana style yoyote utakayo pendelea.
  6. kwa matokeo mazuri tumia kila baada ya siku 3.



No comments:

Post a Comment