Thursday 18 December 2014

FAIZA WA SUGU AVAA PAMPERS KWNYE BIRTHDAY YAKE



Ukiistaajabu ya musa utayaona ya firauni, wallah mji huu unavituko asikwambie mtu, ya walimwengu ni mengi sana.
haya aliyekua mke wa Mbunge Joseph Mbilinyi kwa jina maarufu Sugu ashangaza watu katika birthday yake kwa kuvaa pampers kama mtoto  yaani kupeleka ujembe kwa dhamira ya kwamba hiyo ni siku yake ya kuzaliwa na anatakiwa avae hivyo.
haya na wewe yako utavaa nini.. hahahaaaaa raha sana wallah.

happy belated birthday faiza..

Wednesday 17 December 2014

BREAKING NEWS: MNENGUAJI WA TWANGA PEPETA AISHA MADINDA AFARIKI DUNIA

Aisha Madinda enzi za Uhai wake.
Habari zilizo tufikia hivi Punde ya kwamba mnenguaji maarufu wa bendi ya twanga pepeta Aisha Madinda afariki mchana wa leo hii tar 17/12/2014.
mkurugenzi wa bendi ya twanga pepeta Asha Baraka amethibitisha hilo na amesema mwili wa marehemu umehifadhiwa katika Hospital ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam wakati familia ikikaa kuandaa taratibu za mazishi ya Aisha Madinda.
                 

"MMUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU PAHALA PEMA PEPONI''
AAAMEN

Monday 15 December 2014

MY GRADUATION DAY.


Alhamdulillah , Alhamdulillah  manage to finish 3 years of studies at Tanzania Institute of Accountancy, officially graduate in Bachelor degree in Procurement and Logistics Management, it was not easy to finish this studies, i av been through a lot of obstacles and many more but Alhamdulillah with the help of my school mates, my familly especial My Mum and all the people around me let me say Thank you all for the support that you have showed me all this time of my studies.
''i learned that we can do anything, but we can'tdo everything.. at least not at the same time. So think of your priorities not in terms of what activities you do,
but when you do them. Timing is everything''
















Wednesday 10 December 2014

WEMA SEPETU ARUDI KUNDINI, MOVIE MPYA INAPIKWA

Le SuperStar, Wema Sepetu amerudi tena kundini katika tathnia ya filamu ambapo alipotea kwa mda mrefu kidogo kutokana na sababu zake yeye mwenyewe binafsi.
amerudi kwa vishindo kwani kwa sasa yupo nchini Ghana katika maandalizi ya Filamu yake ambayo ameshirikiana na msanii maarufu nchini humu Van Vicker, filamu hiyo inakuja kwa jina la ''DAY AFTER DEATH'' D.A.D.
bila shaka movie hii itakua ya aina yake kutokana na mchanganyiko wa Tanzania na Ghana.
naona sasa watanzania tumeamka vyema, Madam wema sepetu peperusha bendera yetu katika Tasnia ya Filamu na iwe mfano wa kuigwa.
tunakutakia kila la kheri katika mchakato mzima wa movie hiyo. tunaisubiria kwa hamu sana..


Baadhi ya picture ambazo ziko katika movie hiyo
Alichokiandika Van Vicke katika page yake ya Instagram kuhusiana na Movie mpya yeye pamoja na Wema Sepetu.

Sunday 7 December 2014

WAKATI DAVIDO AKILILIA NYOTA , DIAMOND APATA TUZO NYINGINE TOKA HUKO KWAO NIGERIA



STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'DiamondPlatnumz' usiku wa kuamkia leo ameshinda tuzo nyingine huko Lagos nchini Nigeria kutoka The Future Awards Africa Prize in Entertainment 2014.
Tuzo hiyo ya Diamond ilipokelewa na Meneja wake Salaam na kwenye kipengele cha tuzo hiyo kulikuwa na wakali wengine wakiwemo Panshack au Ice Prince wa Nigeria na Michael Kwesi kutoka nchini Ghana.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Diamond aliandika ujumbe huu: 
"Thanks God, we have cheated another one on the future Awards Africa in Lagos Nigeria…#Samenight Thank You Allah"

DAVIDO ulie tuu kama nyota ndo inazidi kung'aa na itaendelea kung'aa dadeki yani hiyo tuzo nyingine imetoka huko huko kwenuu mfyuuuuuuuuuuuhhhh..

'' Tatizo Nyoooootaaaa'''

DAVIDO SNITCH.....ADHIHIRISHA CHUKI KUPITIA MTANDAO WA KIJAMII TWITTER

Baada ya ushindi wa Idriss katika jumba la BigBrother Hotshots 2014, msanii wa Nigeria Davido aonyesha live jinsi gani ameumia kwa ushind huo na kudhihirisha wazi kuptia page yake ya Twiter na kusema 
"N they cheat again ''
hii inamanisha kuwa zile Tuzo 3 toka CHOAMVA alizo shinda Diamond Platinumz kumbe huyu kaka ''mfupi nyundo'' imemuuma na kuamua kutoa duku duku lake.
lakini watanzania hawajabaki myuma kumuonesha kwamba hatujacheat gadem mbulula huyu mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu na hichi ndicho alichokisema.







Davido umetusikitisha saana watanzania yani hata ule upendo wa dhati tuliokua nao yani umeupoteza kabisa, no matter what because of your collabo or whatever but this is not a way , it really show us that u are jealous to Diamond Platinumz because of those 3 Awards from CHOAMVA, but you also got yours at BET but we supported you and we didnt say a word to yo Gaddem Mburula Mtu mfupi.....

Diamond akiona kumbe haya yatatokea na akasema "TATIZO NYOTAAAAAAAAAAAAA"" this word mean a lot MAZAFANTAZ



IDRIS SULTAN BIG BROTHER HOTSHOTS WINNER 2014 $300,000/= ZINAKUJA BONGO

''2014 is our best year, 3 is our lucky number, and SHERIA NGOWI is our Best designer'' this is my saying







nijambo la kumshukuru Mungu kwa kweli kwa kuumaliza mwaka vizuri with a lot of awards and ushindi mkubwa, kama diamond amewakilisha vema katika tuzo za CHOAMVA kwa kujinyakulia tuzo # bila kipingamizi chochote na sasa ni zamu ya IDRIS SULTAN 'MULLAH' anbaye ameibuka na ushindi wa $300,000/ (US Dollar 300,000) baada ya kushinda kwa kura nyingi kumzidi muwakilishi wa Nigeria TAYO ambaye alishika nafasi ya pili.
kwa kweli kwa hatua tuliyofikiwa watanzania inatia matumaini sana kwani sasa tumekua tunaelewa matumizi mazuri ya social networks ambayo sio tuu umbea but pia kuweza kusaidia kuwa pigia kura na promo wenzetu ambao wamepata nafasi ya kutuwakilisha.

Hongera sana IDRISS SULTAN Kwa ushindi uloupata na kumbuka support hii imetoka kwa watanzania wanaokujali na wanaojali nchi yao, hvyo basi utakavyorudi upate wasaa wa kutushukuru watanzania wote kwa support tuliotoa na si tanzania ni africa kwa ujumla.