Thursday 18 December 2014

FAIZA WA SUGU AVAA PAMPERS KWNYE BIRTHDAY YAKE



Ukiistaajabu ya musa utayaona ya firauni, wallah mji huu unavituko asikwambie mtu, ya walimwengu ni mengi sana.
haya aliyekua mke wa Mbunge Joseph Mbilinyi kwa jina maarufu Sugu ashangaza watu katika birthday yake kwa kuvaa pampers kama mtoto  yaani kupeleka ujembe kwa dhamira ya kwamba hiyo ni siku yake ya kuzaliwa na anatakiwa avae hivyo.
haya na wewe yako utavaa nini.. hahahaaaaa raha sana wallah.

happy belated birthday faiza..

No comments:

Post a Comment