Wednesday 10 December 2014

WEMA SEPETU ARUDI KUNDINI, MOVIE MPYA INAPIKWA

Le SuperStar, Wema Sepetu amerudi tena kundini katika tathnia ya filamu ambapo alipotea kwa mda mrefu kidogo kutokana na sababu zake yeye mwenyewe binafsi.
amerudi kwa vishindo kwani kwa sasa yupo nchini Ghana katika maandalizi ya Filamu yake ambayo ameshirikiana na msanii maarufu nchini humu Van Vicker, filamu hiyo inakuja kwa jina la ''DAY AFTER DEATH'' D.A.D.
bila shaka movie hii itakua ya aina yake kutokana na mchanganyiko wa Tanzania na Ghana.
naona sasa watanzania tumeamka vyema, Madam wema sepetu peperusha bendera yetu katika Tasnia ya Filamu na iwe mfano wa kuigwa.
tunakutakia kila la kheri katika mchakato mzima wa movie hiyo. tunaisubiria kwa hamu sana..


Baadhi ya picture ambazo ziko katika movie hiyo
Alichokiandika Van Vicke katika page yake ya Instagram kuhusiana na Movie mpya yeye pamoja na Wema Sepetu.

No comments:

Post a Comment