Wednesday 17 December 2014

BREAKING NEWS: MNENGUAJI WA TWANGA PEPETA AISHA MADINDA AFARIKI DUNIA

Aisha Madinda enzi za Uhai wake.
Habari zilizo tufikia hivi Punde ya kwamba mnenguaji maarufu wa bendi ya twanga pepeta Aisha Madinda afariki mchana wa leo hii tar 17/12/2014.
mkurugenzi wa bendi ya twanga pepeta Asha Baraka amethibitisha hilo na amesema mwili wa marehemu umehifadhiwa katika Hospital ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam wakati familia ikikaa kuandaa taratibu za mazishi ya Aisha Madinda.
                 

"MMUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU PAHALA PEMA PEPONI''
AAAMEN

No comments:

Post a Comment