Sunday 7 December 2014

WAKATI DAVIDO AKILILIA NYOTA , DIAMOND APATA TUZO NYINGINE TOKA HUKO KWAO NIGERIA



STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'DiamondPlatnumz' usiku wa kuamkia leo ameshinda tuzo nyingine huko Lagos nchini Nigeria kutoka The Future Awards Africa Prize in Entertainment 2014.
Tuzo hiyo ya Diamond ilipokelewa na Meneja wake Salaam na kwenye kipengele cha tuzo hiyo kulikuwa na wakali wengine wakiwemo Panshack au Ice Prince wa Nigeria na Michael Kwesi kutoka nchini Ghana.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Diamond aliandika ujumbe huu: 
"Thanks God, we have cheated another one on the future Awards Africa in Lagos Nigeria…#Samenight Thank You Allah"

DAVIDO ulie tuu kama nyota ndo inazidi kung'aa na itaendelea kung'aa dadeki yani hiyo tuzo nyingine imetoka huko huko kwenuu mfyuuuuuuuuuuuhhhh..

'' Tatizo Nyoooootaaaa'''

No comments:

Post a Comment