Sunday 7 December 2014

IDRIS SULTAN BIG BROTHER HOTSHOTS WINNER 2014 $300,000/= ZINAKUJA BONGO

''2014 is our best year, 3 is our lucky number, and SHERIA NGOWI is our Best designer'' this is my saying







nijambo la kumshukuru Mungu kwa kweli kwa kuumaliza mwaka vizuri with a lot of awards and ushindi mkubwa, kama diamond amewakilisha vema katika tuzo za CHOAMVA kwa kujinyakulia tuzo # bila kipingamizi chochote na sasa ni zamu ya IDRIS SULTAN 'MULLAH' anbaye ameibuka na ushindi wa $300,000/ (US Dollar 300,000) baada ya kushinda kwa kura nyingi kumzidi muwakilishi wa Nigeria TAYO ambaye alishika nafasi ya pili.
kwa kweli kwa hatua tuliyofikiwa watanzania inatia matumaini sana kwani sasa tumekua tunaelewa matumizi mazuri ya social networks ambayo sio tuu umbea but pia kuweza kusaidia kuwa pigia kura na promo wenzetu ambao wamepata nafasi ya kutuwakilisha.

Hongera sana IDRISS SULTAN Kwa ushindi uloupata na kumbuka support hii imetoka kwa watanzania wanaokujali na wanaojali nchi yao, hvyo basi utakavyorudi upate wasaa wa kutushukuru watanzania wote kwa support tuliotoa na si tanzania ni africa kwa ujumla.


No comments:

Post a Comment