Monday 27 February 2012

HAHAHAAAA WASAAFII ,,.DISIGN KM AAAAHH

INAKUWAAA POA POA BAAB ,,

BFF JAMANI SINCE ZANAKI ,,,,

this sunday nlikuwa na mafriends jamani tumetoka mbali since enzi za mama Mramba duuh hadi ss ,,
best friends for ever 
from left: witty,rose,nuru,and zahra

rose,nuru witty,kithuraah

me n zahra

me n nuru

nlilipenda hili pozi 

only me Wa kaumo
zanaki girls ,,mwaah

me n witty
 naisubiria hiyo get tugether lols niwaone wote warembo wa mramba ,,,uuwii cant wait dears ..
zaituni malonji unatutamaniaje huko marekani unatamani ufly ..mis yu my habibty

Friday 24 February 2012

It is now www.kithuraahtz.blogspot.com

HABARI ZENU

hopefully mko poa nduguzangu ,mi pia niko fresh kama kawa nashkuru Mungu
So far hadi ss naendelea vyema kubloging though i need a lot of ideas from you wadauz so as to move forward,
N pia nimepata ushauri that the adress is too long so jaribu kuifupisha nkakuna kichwa mtoto wa watu nka ifupisha na sasa itakuwa hii www.kithuraahtz.blogspot.com but the title will be the same Kithuraah Wa Kaumo.
nafurahi sana napata courage from my friends n other people about myblog and everthing napia nnapoona comments yani ndo nafurahi zaidi  ,,
pia kuona viewers from different part of the world thoough wengi sana from hapa home country Bongo ,,
so Tupia comment yako hapa ,
wataka nn kiboreshwe?
unaushauri gani kuhusiana na blog hii?
maoni yako ?
tusaidiana wapenz ,,nawapenda wadau wangu
really me Kithurah Wa Kaumo
 

Thursday 23 February 2012

GOD IS GREAT JMN,,MWANAMKE AJIFUNGUA WATOTO 11 KWA WAKATI MMOJA HUKO INDIA.

km unavyoona hao ndio madoctor walohusika ktk kuzalisha hao watoto

11boys wakiwa wazima afya tele

tumbo lilivokuwa kabla ya kujifungua

Mungu ni mkubwa jmn na anaamua atakalo yeye ss sijui niseme ni bahati ooh what but it happened ,,watoto 11 ktk tumbo la mtu mmoja na kuwazaa kwa wakati mmjo ni kweli kitu cha ajabu ,
imetokea huko INDIA hivi karibuni ,mwanamke ajifungu watoto 11 kwa wakati mmoja na watoto wote ni wa kiume na ni wazima kabisa na afya tele,,it is really amazing..
inasadikika kuwa mwanamke huyu amevunja record kwa mwaka 2012 though bado haujaisha ..
Mungu awakuze watoto hawa mweeh..

Tuesday 21 February 2012

WOMEN CELEBRATION DAY TUKUTANE PALE JMN

Haya mashost zangu ,ma bibi na mwabwan tukutaneni pale Serena Hotel for this event ,
wanawake lets plan what to do ,lets meet with people who can advice you ,about business ,wanawake tunahitaji kukomboka tuepukane na adha ya kunyanyaswa kwa kutegemea waume zetu ets stand together ..
Shamim i really like you very much ,you are the one who insipire me to open this blog i"ll b there for you and all women in the world.
haya haya wanawake tukutane pale .....tupia kivazi chako cha khanga uonekane mwanamke wa kiafrica..
pia dada shamim katuandalia zwadi jmn its a suprise ,utakaponunua ticket yako na utakuwa mmoja kati ya watakaopata zawadi..
event date : March 3
Venue: Serena Hotel (Moven Pick)
Entrace: 25000 wahi ss ticket bado zinapatikana
8020 FASHIONS ( SINZA MORI)
VIATUZI (SEA VIEW UPANGA),
DESERT ROSE SALON (KINONDONI MUSLIM)  

ROZELLA FASHION (KINONDONI KWA MANYANYA) SHEAR ILLUSION (MLIMANI CITY)
 Angalizo :ticket hazitauzwa mlangoni so wahi kununua sasa

Monday 20 February 2012

LEO MABIBI NA MABWN TUKO KWA SECTOR YA MAPISHI




Buns

MAPISHI YA BUNS

Mahitaji
  1. unga vikombe 3
  2. Hamira vijiko viwili vya chai
  3. mafuta vijiko viwili vya chakula
  4. mtindi vijiko vitatu vya chakula
  5. yai moja
  6. chumvi nusu kijiko cha chai
  7. maziwa fresh kikombe kimoja
jinsi ya kuandaa
  • changanya hamira ,sukari na maji kidogo 
  • weka unga ,chumvi,mafuta,yai na maziwa mtindi kwenye mchanganyiko wako
  • changanya vizuri mchanganyiko ongeza maziwa fresh ya uvuguvugu
  • acha unga uumuke kwa mda wa saa 1
  • chukua unga wako kata kata madonge ya saizi na weka kwenye tray
  • chukua brush paka mafuta juu ya madonge yako
  • weka kwenye oven kwa mda wa dk 20
  • baada ya dk hizo toa mikate yako na iko tayari kwa kuliwa
  • inaweza kuliwa na chai au hata juice 
 haya mdau wangu enjoy mapishi ya leo ,jifunze kujaribu kwani kutakusaidia cku ya kwanza unaweza ukakosea bt cku nyingine utashangaa utakavokuwa expert ,penda kujaribu vitu vizuri ..

nawapenda wote wadau wangu
its me blogger
Wa Kaumo
<3 <3 <3

Wednesday 15 February 2012

HONGERA MAIMARTHA WA JESSE KWA KUTULETEA MCHUMBA,,

ktk tabasamu
wiki moja baada ya ndoa yake ,mtangazaji maarufu wa luninga na radio Maimartha wa Jesse ajifungua mtoto wa kiume kwa njia ya kawaida akiwa mzima wa afya..
Hongera sana na Mmungu bibie  akupe afya tele pamoja na mtoto wako ..

mai akiwa na baba mtoto


Sunday 12 February 2012

HAHAHAAA NICKY AFANYA VITUKO GRAMMYS AWARDS ,,HAKUNA KAMA NICKY MINAJ ,,

Hhahahaaa acheni nicheke kwanza wadau wangu km cjashusha maun=mbea loh duniani kuna mambo mmh,,
kyk tuzi za Grammys zilizofanyika ucku wa kuamkia jana jumapili ,ambapo wanamuzi wengi maarufu duniani wanakutana hapo kila mtu akimsubiria mwenzio ataokaje au atakuja na stail gani kila,pamoja na washabiki pia wakisubiri nani atavuta macho ya watu ,,
hatimaye one n only nicky mwanamuziki mtata sana minaona Lady Gaga Haingii ndani kwa huyu mwananmke aliingia ukumbini kila mtu akishangaa akiwa haamini anachokiaona unajua aliingiaje em check this pictures and tupia comments zako chini yake
akiwa anaingia ukumbini na POP lols

The only Nicky

swaggs

hahahaha km muumini kweli los
WAKATI HUO HUO GAGA ALIKUWA HIVI
Lady in Black



Gaga na Kelly





WAKATI RIHHANA NAE ALIAMUA KUTANGAZA RASMI DRESS AMBAYO ALIDESIGN KUTOKA KTK HER OWN COMPANY
SWAGGS
ONLY GAL HUYOO
Disign nimependa hii dress yani iko poa presentable ,simple ,and gorgeous 






KIFO CHA WITNEY HOUSTON MASAA MACHACHE KABLA YA GRAMMYS PARTY AWARDS .

 
kutoka huko sates inasemekana kuwa mwili wa hayati Witney Ouston ulikutwa ktk chumba ambacho alichokua anaishi ktk hotel ya Beverly Hilton Hotel ulikutwa bafun kwenye bath tub.huku kichwa chake kikiwa ndani ya maji
pia wamethibitisha kuona some kind of drugs kwenye chumba chake mchana huo ambapo alikuwa mmoja kati ya wahudhuriaji wa tafrija ya grammy.
katika upekuzi zaidi police waligundu a bottle of medication ,na ilikutwa aina ya XANAX drugs ambayo inatumika sana kutibu ANXIETY.
ambapo dawa hii ikichanganywa na pombe inaleta hali ya Utepevu (yani mwili kulegea).
pia ilithibitika kwamba alhamisi ya wiki iliyopita(09/02/2012) Witney alionekana kwenye rehearsals kwa ajili ya grammys part akiwasimamia Brandy na Monica.
Whitney amefariki akiwa na umri wa miaka 48 ,ni mwanamuziki aliyekuwa amejaaliwa sauti na alikua akiitumia kutoa burudani kwetu ,kiukweli mi pia alikuwa my inspiration her songs the way alivokua akiimba kwa hisia hakuna atakaye kuwa km yeye ,,nyota ilokuwa iking'aa imeshafifia kwani ahtutamuona tena na tutabakia kuckiliza nyimbo ambazo aliwahi kuzitoa kip[indi cha uhai wake .
 MAY HER PRETTY SOUL REST IN PEACE .......
KTK POZI



AKIIMBA KWA HISIA
                                    AND IIIIIIIIIIII IIIIIIYAAA WILL ALWAYS LOVE YUUUUUUUU
                                        
AKIWA NA MUMEWE BOBBY



ONE OF HER GRAMMY AWARD

MWILI WA WHITNEY UKITOLEWA KUTOKA  Beverly Hilton Hotel

WE WILL ALWAYS LOVE YOU WHITNEY HOUSTONE NOBODY CAN EVER HAVE TALENT AS YOU HAD...

its yours one n only kithuraah Wa Kaumo


Saturday 11 February 2012

UJIO WA BLUE IVY KTK FAMILIA YA MR & MRS CARTER (JAYZEE & BEYONCE)

Bwana na Bibi Carter hatimaye wameamua rasmi kutoa picha za binti yao mpendwa Blue Ivy carter baada ya kukaa mwezi mzima tangu kuzaliwa kwa mtoto huyo ,
waliamua rasmo kukubali kupiga picha na kutoa kwa ajili ya fans zao ,co cri naipenda sana familia hii na privacy yao ni nzuri na inapendeza co kila kitu unachofanya kijulikane,,.
here are some picture of princess Blue ivy Carter watch them na weka comment zako
baba na mwana ,he is very happy

cute Blue Ivy Carter 
 dizain anafanana na parents zake hivi
ooh little princess

Momy si very happy with her daughter

Mother and daughter 's hands

Friday 10 February 2012

CHAGUA MSHONO UTAOKUVUTIA KULINGANA NA SHEPU YAKO

NICE DRESS FOR KICHEN PARTY

CUTE

NIMEGUSWA NA HAKA KAMSHONO JAMANI

SIMPLE BUT SURE

GORGEOUS  
kwa kweli waafrika tunapendeza sana na hizi nguo zetu hasa za vitenge ,ukipata fundi hodary akakushonea vizuri hakika utapendeza ,tujivunie sana tamaduni yetu ,,,
i love being african i love being Tanzania ..
 

Thursday 9 February 2012

MSANII MAARUFU WA GOSPEL MUSIC ROSE MHANDO ALAMBA BINGO LA SONY MUSIC ENTERTAINMENT

akiwa na wasanii wa bongo fleva

akielezea jinsi gani alivofurahi kupata nafasi hio

km unavoiona picha na yy yupo katikati ,,loh

akiwa na wawakilishi wa sony
haya haya rose muhando hatimaye nyota yake inazidi kung'ara ,,sony wamemsikia na wamemkubali hivyo ataanza kufanya nao kazi rasmi ktk kurecord albam zake ,raha jaman ,,wasanii msikate tamaa chance km hizi zipo onesha kipaji thamini mziki wako na jali sana washabiki wako mbona kutoka rahisi tuu..
kila la heri dada Rose ktk record label yako mpya Sony Music Entertainment ,,

ni mm ripota wako kithuraah wa kaumo
much love wadauz 

Wednesday 8 February 2012

am back ladies and gentlemen

hello wadauwa wa my blog
i hope mko poa ,am sorry for being away for 3 weeks ,nlikuwa kwa pepa skul so nkawa napiga kitabu so as tu avoid suplementary co siri naogopa sana loh ,by the way mi nko poa sana haya nipen yaliyojiri na nyinyi cz nlikuwa away u must have something ,,haya tupia kila story uliyokua nayo hapa ,,,
 ni mm mwenyewe kithuraah wa kaumo no 1 lyk me ...
with love <3


@wek with happy smile