Friday 24 February 2012

It is now www.kithuraahtz.blogspot.com

HABARI ZENU

hopefully mko poa nduguzangu ,mi pia niko fresh kama kawa nashkuru Mungu
So far hadi ss naendelea vyema kubloging though i need a lot of ideas from you wadauz so as to move forward,
N pia nimepata ushauri that the adress is too long so jaribu kuifupisha nkakuna kichwa mtoto wa watu nka ifupisha na sasa itakuwa hii www.kithuraahtz.blogspot.com but the title will be the same Kithuraah Wa Kaumo.
nafurahi sana napata courage from my friends n other people about myblog and everthing napia nnapoona comments yani ndo nafurahi zaidi  ,,
pia kuona viewers from different part of the world thoough wengi sana from hapa home country Bongo ,,
so Tupia comment yako hapa ,
wataka nn kiboreshwe?
unaushauri gani kuhusiana na blog hii?
maoni yako ?
tusaidiana wapenz ,,nawapenda wadau wangu
really me Kithurah Wa Kaumo
 

No comments:

Post a Comment