Thursday 9 February 2012

MSANII MAARUFU WA GOSPEL MUSIC ROSE MHANDO ALAMBA BINGO LA SONY MUSIC ENTERTAINMENT

akiwa na wasanii wa bongo fleva

akielezea jinsi gani alivofurahi kupata nafasi hio

km unavoiona picha na yy yupo katikati ,,loh

akiwa na wawakilishi wa sony
haya haya rose muhando hatimaye nyota yake inazidi kung'ara ,,sony wamemsikia na wamemkubali hivyo ataanza kufanya nao kazi rasmi ktk kurecord albam zake ,raha jaman ,,wasanii msikate tamaa chance km hizi zipo onesha kipaji thamini mziki wako na jali sana washabiki wako mbona kutoka rahisi tuu..
kila la heri dada Rose ktk record label yako mpya Sony Music Entertainment ,,

ni mm ripota wako kithuraah wa kaumo
much love wadauz 

No comments:

Post a Comment