Saturday 11 February 2012

UJIO WA BLUE IVY KTK FAMILIA YA MR & MRS CARTER (JAYZEE & BEYONCE)

Bwana na Bibi Carter hatimaye wameamua rasmi kutoa picha za binti yao mpendwa Blue Ivy carter baada ya kukaa mwezi mzima tangu kuzaliwa kwa mtoto huyo ,
waliamua rasmo kukubali kupiga picha na kutoa kwa ajili ya fans zao ,co cri naipenda sana familia hii na privacy yao ni nzuri na inapendeza co kila kitu unachofanya kijulikane,,.
here are some picture of princess Blue ivy Carter watch them na weka comment zako
baba na mwana ,he is very happy

cute Blue Ivy Carter 
 dizain anafanana na parents zake hivi
ooh little princess

Momy si very happy with her daughter

Mother and daughter 's hands

No comments:

Post a Comment