Sunday 12 February 2012

KIFO CHA WITNEY HOUSTON MASAA MACHACHE KABLA YA GRAMMYS PARTY AWARDS .

 
kutoka huko sates inasemekana kuwa mwili wa hayati Witney Ouston ulikutwa ktk chumba ambacho alichokua anaishi ktk hotel ya Beverly Hilton Hotel ulikutwa bafun kwenye bath tub.huku kichwa chake kikiwa ndani ya maji
pia wamethibitisha kuona some kind of drugs kwenye chumba chake mchana huo ambapo alikuwa mmoja kati ya wahudhuriaji wa tafrija ya grammy.
katika upekuzi zaidi police waligundu a bottle of medication ,na ilikutwa aina ya XANAX drugs ambayo inatumika sana kutibu ANXIETY.
ambapo dawa hii ikichanganywa na pombe inaleta hali ya Utepevu (yani mwili kulegea).
pia ilithibitika kwamba alhamisi ya wiki iliyopita(09/02/2012) Witney alionekana kwenye rehearsals kwa ajili ya grammys part akiwasimamia Brandy na Monica.
Whitney amefariki akiwa na umri wa miaka 48 ,ni mwanamuziki aliyekuwa amejaaliwa sauti na alikua akiitumia kutoa burudani kwetu ,kiukweli mi pia alikuwa my inspiration her songs the way alivokua akiimba kwa hisia hakuna atakaye kuwa km yeye ,,nyota ilokuwa iking'aa imeshafifia kwani ahtutamuona tena na tutabakia kuckiliza nyimbo ambazo aliwahi kuzitoa kip[indi cha uhai wake .
 MAY HER PRETTY SOUL REST IN PEACE .......
KTK POZI



AKIIMBA KWA HISIA
                                    AND IIIIIIIIIIII IIIIIIYAAA WILL ALWAYS LOVE YUUUUUUUU
                                        
AKIWA NA MUMEWE BOBBY



ONE OF HER GRAMMY AWARD

MWILI WA WHITNEY UKITOLEWA KUTOKA  Beverly Hilton Hotel

WE WILL ALWAYS LOVE YOU WHITNEY HOUSTONE NOBODY CAN EVER HAVE TALENT AS YOU HAD...

its yours one n only kithuraah Wa Kaumo


7 comments: