Wednesday 30 May 2012

WEMA AVISHWA PETE NA MWINYI WA MACHOZI BAND NDANI YA MAISHA CLUB



Mwanadada Superstaa wa Bongo Movie Wema Sepetu akiwa anaendelea na shooting yake ya Movie itakayokuwa na jina la SUPERSTAR ikielezea maisha yake ya usupastaa jana ndani ya maisha club alivishwa pete ya uchumba na mwimbaji wa Machozi Band kuonyesha upendo kwa mpenzi wake huyo na kumuahidi kuwa wake daima.

AKIPIGA GOTI KUONYESHA ISHARA YA UPENDO

MWINYI AKIWEKA PETE KWA KIDOLE CHA WEMA
akiwa sambamba na Wema sepetu Mwinyi alisema kwamba ''huyu ndie mwanamke nileyetulia nae baada ya kuzunguka kote hapa ndio tulizo langu na atakua wangu wa maisha'' km ukikumbuka maneno haya yalisemwa na Naseeb Abdul (Diamond Platinumz ) wakati alipo mvisha pete mwanadada huyu mwishoni mwa mwaka 2011.


MMMMMHHHH WAT ALOVELY
 Mwimbaji Mwinyi aliigiza km diamond ktk filamu hiyo na ndio maana event imefanyika ktk ukumbi ule ule ambao diamond alifanya tukio hilo ,ila kwa watumbuizaji walikua machozi band,
Wema mwenyewe anasema movie hii itamgarimu zaidi ya shilingi za kitanzania Milioni 30 hadi kuikamilisha..
movie hii imesheheni masuperstaa kibao wa bongo so mdau stay tuned kununua movie ya mwanadafada Wema wa Sepetu ...
 
WALIOKUWEPO KUSHUHUDIA

WISH YOU ALL THE BEST WEMA SEPETU ,WADAU STAY TUNED KWA FILAM YA SUPERSTAR ITAKAYOSHEHENI MASUPERSTAA KIBAOO.

Tuesday 29 May 2012

KESI YA LULU BADO INARUSHWA MAAMUZI KUTOKA JUNI 16,2012


Lulu akiingi Mahakamani kwa Ulinzi mkali
Kesi ya msanii wa Bongo Movie Elizaberth Michael (LULU) ambaye anashtakiwa kuhusika ktk Kifo cha msanii mwenzie Steven Kanumba.
Ndani ya mahakama ya kisutu jana Jaji Fauz Twaibu ambayo alikua anasikiliza kesi ya Lulu ,amabapo mawakili wanaomtetea Lulu wakiwa na maombi ya kuwa kortiichunguze umri wa lulu anaesdikika ana miaka 17.


Lulu akisikiliza kwa makini
 baada ya kuwasilisha maombi hayo wakili upande wa pili Shadrak Kimaro alipinga vikali ombi hilo ambapo aliwashauri mawakili wa Lulu kukata rufaa au kuomba maamuzi hayo kufanyiwa mapitio.
Upande wa mshtakiwa mawakili Fulgence Masawe,Kennedy Fungamtama,na Peter Kibatala hawakukubaliana na hilo ambao waliomba mahakama kupokea maombi yao na kutolea maamuzi.
mahakama imetoa tamko kwamba itaoa maamuzi kamili mnamo tar 6 juni mwaka huu.

LULU akisikiliza kesi yake


Monday 28 May 2012

SIKU YA WEMA SEPETU INANUKIA MSANII TOKA NOLLY WOOD KUTIA MAGUU



WEMA WA SEPETU
Msanii nguli wa kike wa Bongo Movie wema Sepetu akishirikiana na coordinator wake Martin Kadinda wako ktk mchakato wa kuanda bonge moja la event linalotarajia kufanyika mwezi wa 6 mwaka huu tarehe haijapangwa rasmi ktk moja kati ya 5stars Hotel Dar es salam.
siku hiyo itakua special kwa wema na wageni ambao wanatarajia kuwepo ni kutoka nchi mbalimbali ikiwemo wasanii nguli wa Nolly Wood nigeria ni mmoja kati ya Omotola Jilade,Genevive Nnanji au Rita Dominic kati ya hao mtu tatu ..
kaa tayari kwa this event tujue Dada wema ametuandalia nn ,....
tutakua tunapeana updates about this event ..
GENEVIVE ,RITA ,OMOTOLA NANI KUKANYAGA ARDHI YA BONGO

Source :the Martin Kadinda Official fashion Blog mzee wa single button mvutokwanza.blogspot.com

MAKAMUZI YA DIAMOND PLATINUMZ NDANI YA BBA


AKI NA DIAMOND PLATINUMZ RAISI WA WASAFII


AKIPIGA MZIGO KM KAWAIDA
Akiiwakilisha vyema bendera ya Tanzania Diamond the Platinumz alifanya show yake ndani ya jumba la BBA it was wow jamaa kafunika km kawaida yake akiwa kazini anapiga mzigo ..
Member kutoka Zambia MAMPI aliaga mashindano siku hiyo.
UMETUWAKILISHA VYEMA WATANZANIA DIAMOND PLATINUMZ KEEP UA SPIRIT ..



KM NAOMI CAMPBELL VILE ,,KITHURA MIMI



CHECK SWAGER HIZO

NA HII JE

WAPENZ KANI MI SIFAI KUA MODAL ?KWIKWIKWIIIII HEBU NIANGALIENI WADAU WANGU ..NAWEZA JITUPIA KWNYE MODELING

WIKIEND HII @LEADERS CLUB
KITHURAAH MIMI

Thursday 24 May 2012

ENHEE CRAZY IN LOVE SMILE

KENYAN WEST AND KIM KARDASHIAN

DIAMOND PLATINUMZ KUPIGA SHOW NDANI YA JUMBA LA BBA JUMAPILI HII


DIAMOND PLATINUMZ

Baada ya washiriki wetu kutoka ndani ya mjengo wa BBA kwa wiki ya kwanza .
Raisi wa Wasafi Diamond ataiwakilisha vyema Tanzania kwa kupiga show kali ndani ya mjengo,km kawaida makamuz yaleyale Dıamond km tulivyokuzoea..

WISH U ALL THE BEST DIAMOND....KULA SHAVUU KWA MADIBA..
RAISI WA WASAFII KTK POZI


MBONIE MASIMBA AZINDUA MBONI TALK SHOW ON EATV

AKIONGEA NA WAANDISHI WA HABARI

MSIMMIZI WA KIPINDI GEORGE,MBONI, NA MENEJA WA VIPINDI EATV

MBONI MASIMBA

Mdada wa ukwee Mboni Msimba azindua MBONI TALK SHOW itakayooneshwa kupitia CHANNEL 5 (EATV)
kipindi kitajadili na kutimiza ndoto za vijana wa Tanzania.
Akizungumza mbele ya waandishi wa Habari katika ukumbi wa Hoteli Serena jijini Kipindi chake kitakuwa na dhamira kuu 5 ambazo ni Kuburudisha, kuelimisha, Kuonya, Kuadibu na Kuelekeza.
Mboni alisema kipindi chake kitakuwa na awamu tatu ambazo ni pamoj na ufunguzi wa kipindi, maswali kutoka kwa mtangazaji kwenda kwa wageni waalikwa, Maswali kutoka kwa hadhira kwenda kwa wageni, my dreams come true na tamati.

itaanza rasmi 31 mwezi huu wa 5 kuanzia sa 3usiku hadi saa 4 usiku na itakua inarushwa kila alhamis mda huo.
STAY TUNED.............
CONGRATULATIONS TO MBONIE WE ARE EXPECTING GOOD THINGS FROM U..

Monday 21 May 2012

ANNA TESHA'S KITCHEN PARTY

KITCHEN PARTY
VENUE : MBEZI GARDEN
COLOURS: GREEN,PINK,GOLD
DATE: 20TH MAY 2012

HAPA MBELE PLITOKELEZEA HIVIII

MEZA ZILIKU HIVII



CUTE CUTE ANNA

MWINGI WA TABASAMU  MWANAMKE


kwaito tym

suprise ya kekı yani full of suprises mwee kamati hodari


haya shampein tym weweeh kamatı hyo

sauti ya income sambamba kbisa na wana MOWO..

Baada ya kumkabidhi mahela yake wanamowo wanaserebuka

MODERNISED WOMEN

HAWA N KITHURAAH




KAMATI IKIONGOZWA NA REDDY (MAKEUP ARTIST)  IKIKABIDHI ZAWAD KWA ANNA

JIKO JIKOO BIBI WEEH KAMATI HIOO

HUU NDO MPANGO MZIMA ATII KMATI IKIWA NA VICHWA 10 PAMOJA NA BIBI HARUSI MTARAJIWA


DA ZEY NLIKUPENDAJE NA STATER YA MABOMU 


WENYE UGONJWA WA MAMBO YETU HAYOO KIATU KIVUEEE

SHOGER HUYOOOO



Saturday 19 May 2012

R. I. P KIUNGO WA SIMBA PATRICK MAFISANGO

1980-03-09 (32 years) to 17-05-2012



Mafisango alizaliwa Machi 30, 1980 huko Kinshasa Zaire wakati huo na ameacha mke na mtoto mmoja wa kiume, Chris Paul, mwenye umri wa miaka mitano.
 Mafisango ameichezea Simba kwa msimu mmoja tu akitokea Azam ya Dar es Salaam lakini kabla ya hapo alichezea pia TP Mazembe ya DRC, APR ya Rwanda na pia aliwahi kuwa nahodha wa Amavubi kwa takribani miaka mitano.
 Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage, Makamu wake, Geofrey Nyange Kaburu na wajumbe wa kamati ya watendaji wameeleza kusikitishwa kwao na msiba huu mkubwa .

MUNGU AILAZE PEMA PEPONI ROHO YA KIUNGO WETU PATRICK MAISANGO AAMIN

Monday 7 May 2012

JULIO NA HILDA WAKIWAKILISHA TZ NDANI YA BIGBROTHER AFRICA

JULİO
 Julio mwnye umrı wa miaka 27 nı Manager ktk moja katı ya makampunı a mwasilino Tanzanıa..
Elımu yake ni BCOMM in FINANCE and MBA
hıvyo yupo ndani y umba kuiwkilisha vyem nchi yetu hivyo basi wa Tanzania hatunabudi kumpigia kuraa..
HILDA
Hilda ana umri wa miak 28 akitokea Morogoro kule alıpotokea Mwısho km mnakumbuka.
yeye ni Mfanyabıashara na anamtoto mmoja wa kiume,atatuwakılısha vyema kwa upande wa wadada hivyo yatupasa tumpigie  kura za kutosha....

Na kama tulıvoona washiriki wanne wakiwemo wshiriki wetu hw wako ktk danger zone kuingia tu hata kuzoea mazingira hawaja wanatakiwa waondolewe hıvyo bası kura nyingi zinatakiwa wajameniiii

WISH YOU ALL THE BEST JULIOAND HILDA

Thursday 3 May 2012

TUMSAIDIENI SAJUKI WATANZANIA

kushoto ni hali ya sajuki kwa sasa na kulia ni hali aliokua nayo kabla ya ugonjwa

Juma Kilowoko (SAJUKI) alivyo sasa

Msanii maarufu wa bongo movie Juma Kalowoko jina la kisanii SAJUKI yuko ktk hali mbaya na sisi km watanzania tunahitaji kumsaidia kwa chochote ulichokua nacho kwani anahitaji msaada mkubwa sana ili kukamilisha matibabu yake ambayo anatakiwa kwenda india kufanyiwa operation ya uvimbe alokua nao tumboni ambapo zinatakiwa Milioni 25 kwa ajili ya matibabu hayo ili kunusuru maisha yake .
Sajuki ambaye ni mume halali wa Wastara Juma ambaye pia ni mwigizaji anasema, kama wangekuwa na kiasi hicho cha pesa sasa hivi wangekuwa India kwani ugonjwa unaendelea kumtafuna mumewe kila kukicha.

"Sajuki anaumwa ndio maana tunawaomba wapenzi wetu na Watanzania wote, chochote walichonacho watuchangie ili tuweze kufika India kwaajili ya matibabu," anasema Wastara.
Wastara anasema hii itakuwa ni mara ya pili kwa Sajuki kwenda India kwamatibau, mara ya kwanza walienda na kupewa dawa ambazo madaktari waliamini zingeweza kumaliza tatizo.
"Tulikwenda mara ya kwanza na kupatiwa dawa ambazo ziliaminika kuwa zingemaliza tatizo, lakini imeonekana dawa haziwezi mpaka afanyiwe upasuaji,
Kufanyiwa upasuaji gharama zake ni kama milioni 25 za Tanzania, hapo bado usafiri malazi na vitu vingine vidogo vidogo,
Lakini kwetu la muhimu sasa hivi ni hizi milioni 25 za matibabu, hayo mengine mungu atatusaidia kikubwa uzima kwanza," anasema Wastara.
Aidha amesema ugonjwa unaomsumbua Sajuki ni kuwa na vivimbe kama matezi katika mishipa ya damu ambayo imekuwa aikiongezeka kila kukicha.
watanzania tunaomba msaada wenu kumsaidia kijana mwenzetu mtanzania mwenzetu,,

kupitia  AKIBA BANK A/C NO :050000003047
na MPESA kupitia NO:0762189592 jina litokee wastara juma.