Monday 28 May 2012

SIKU YA WEMA SEPETU INANUKIA MSANII TOKA NOLLY WOOD KUTIA MAGUU



WEMA WA SEPETU
Msanii nguli wa kike wa Bongo Movie wema Sepetu akishirikiana na coordinator wake Martin Kadinda wako ktk mchakato wa kuanda bonge moja la event linalotarajia kufanyika mwezi wa 6 mwaka huu tarehe haijapangwa rasmi ktk moja kati ya 5stars Hotel Dar es salam.
siku hiyo itakua special kwa wema na wageni ambao wanatarajia kuwepo ni kutoka nchi mbalimbali ikiwemo wasanii nguli wa Nolly Wood nigeria ni mmoja kati ya Omotola Jilade,Genevive Nnanji au Rita Dominic kati ya hao mtu tatu ..
kaa tayari kwa this event tujue Dada wema ametuandalia nn ,....
tutakua tunapeana updates about this event ..
GENEVIVE ,RITA ,OMOTOLA NANI KUKANYAGA ARDHI YA BONGO

Source :the Martin Kadinda Official fashion Blog mzee wa single button mvutokwanza.blogspot.com

No comments:

Post a Comment