Tuesday 29 May 2012

KESI YA LULU BADO INARUSHWA MAAMUZI KUTOKA JUNI 16,2012


Lulu akiingi Mahakamani kwa Ulinzi mkali
Kesi ya msanii wa Bongo Movie Elizaberth Michael (LULU) ambaye anashtakiwa kuhusika ktk Kifo cha msanii mwenzie Steven Kanumba.
Ndani ya mahakama ya kisutu jana Jaji Fauz Twaibu ambayo alikua anasikiliza kesi ya Lulu ,amabapo mawakili wanaomtetea Lulu wakiwa na maombi ya kuwa kortiichunguze umri wa lulu anaesdikika ana miaka 17.


Lulu akisikiliza kwa makini
 baada ya kuwasilisha maombi hayo wakili upande wa pili Shadrak Kimaro alipinga vikali ombi hilo ambapo aliwashauri mawakili wa Lulu kukata rufaa au kuomba maamuzi hayo kufanyiwa mapitio.
Upande wa mshtakiwa mawakili Fulgence Masawe,Kennedy Fungamtama,na Peter Kibatala hawakukubaliana na hilo ambao waliomba mahakama kupokea maombi yao na kutolea maamuzi.
mahakama imetoa tamko kwamba itaoa maamuzi kamili mnamo tar 6 juni mwaka huu.

LULU akisikiliza kesi yake


No comments:

Post a Comment